Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,875
- 10,097
Hahaha nakubalina na wewe,ila changamoto ni usafirishaji.Yahee pweza njoo ununue kwetu huku zanzibare tunauza bei nafuu sana kuliko huko tanganyika.
Mawazo mazuri sana haya, na unajua sana kujenga hoja zako.Hahaha nakubalina na wewe,ila changamoto ni usafirishaji.
Air Tanzania ndio ilikuwa mkombozi,ila Precision Air kwa flight ya Zanzibar-Mwanza ni changamoto kubwa saana.
Ila ata hivyo,Zanzibar sio rahisi saana pia,maana mahoteli ya kitalii ni mengi saana kuliko Dar,sasa demand ni kubwa mno kupita maelezo.Maana hata ukienda Pwejuu na Paje ambapo idadi kuwa hupatikana huko bado ni ghali saana.Maana wanuzwa kwenye mahoteli kwa bei mbaya.
Labda mtu atumie kununua kisiwani Pemba ambapo hakuna changamoto kubwa ya Mahoteli,maana hata wafanyabiashara wa hapa Zanzibar wale wanaooza Jumbo Prawns wanawaagiza Pemba huko kwa Wakojani.
Unajua ukiwa na connection nzuri ya usafiri inalipa,ila hili ndio changamoto,maana bidhaa ikiharibika ni bonge la hasara.
Mliopo Dar hembu niambieni Kilo moja ya Pweza ni Kiasi gani?
ushafungwa au??Ongezea na juice ya vitunguu swaumu.
Km upo tayali bei ya pwza kg 1 ni 7500 huku dar pale soko la ferryWakuu samahani kwa usumbufu Mimi nikijana Mdogo tu nasoma Chuo kimojawapo hapa mwanza,kilichonileta kwenu leo niswala la kutaka kujua kuhusu biashara ya supu ya pweza kwani nataka nifungue banda kwa hapa mwanza usiku niuze supu ya pweza maeneo nitaomba msaada badae pia nitawasilisha Yale niliyo yakusudia mm badae ila kwa sasa naombeni mnisaidie kwa haya machache...
1) upatikanaji wa pweza dar(feli)
2)bei zake
3)utunzaji bila kuharibika
4)nini zaidi nizingatie
5)mengineyo niliyo yasahau
Tafadharini sana kwa wale wazee wa kukatisha tamaa sijawaiteni hapa ...[emoji101] [emoji101] [emoji101]