mzee wa kismati
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 2,291
- 798
We Mr. Genius vipi, sa we usiposema ni wapi huko uliko tutakushauri vipi? usikute huko uliko hata kabwawa hakuna. lazima useme huko mjini kwako ni wapi ili tukushauri ktk pointi
We Mr. Genius vipi, sa we usiposema ni wapi huko uliko tutakushauri vipi? usikute huko uliko hata kabwawa hakuna. lazima useme huko mjini kwako ni wapi ili tukushauri ktk pointi
kabwawa kwani amekwambia anataka kufuga?
kabwawa kwani amekwambia anataka kufuga?
Ni biashara nzuri ila si watu wote wanaojua umuhimu wa vitu hivyo. Tafuta sehemu zenye watu wa pwani wengi utapata pesa, kwani wao ndio wanajua zaidi umuhimu wake.
Shukran sana kaka Zamiluni Zamiluni. Nitayafanyia kazi mawazo yako kakaMkuu H.N mie nakushauri "GO AHEAD" pia uongeze juice mchanganyiko COCKTAIL,mix fruits na vitafunio...kwa hapo kwa Dar. na joto hili mambo yatakwende vizuri biidhniLLaah !!
Ngoja nikupe varieties :-Shukran sana kaka Zamiluni Zamiluni. Nitayafanyia kazi mawazo yako kaka
Ngoja nikupe varieties :-
Zingatia Usafi, usafi ndani na nje weka quality wa hali ya Juu....!!
Hudumia kwa kutumia Viombo visafi na maridadi...!!
Present huduma sako kwa kutabasamu....!!
Usiharakishe kuapata faida kubwa, walemaze wateja wako kuipenda bidhaa yako...!!
Ona hizo..:-
na fruits mix salads:-
vyote hivyo vinapatikana Dar !!
Ona snacks!!
Sasa changamkia kazi..... Allah akubarikie ktk halali yako!!
location kwa dar es salaam;kigamboni,magomeni,kinondoni,ilala,kariakoo,tandika .buguruni,vingunguti.ukipeleka mbezi ya kimara au mbezi beach itakula kwako,hayo maeneo ya kwanza yana watu wa pwani na visiwani kwa wingi