Biashara ya kuuza mkaa

Biashara ya kuuza mkaa

cleokippo

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2014
Posts
2,117
Reaction score
1,804
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania,

Husika na kichwa cha habari hapo juu,

Nimevutiwa sana kufanya biashara ya kuuza mkaa, ambayo kwa kifupi nahitaji kuchoma tanuri mwenyewe mpaka hatua ya mwisho ...namaanisha kuingiza sokoni mwenyewe....sasa kwa faida ya wengine wasiojua ....nahitaji kwa anayefahamu anielekeze utaratibu upoje yaani kuanzia kibali cha kuchoma mpaka bidhaa inaingia sokon....!!

Aksanten

images

Kama unachoma mwenyewe utapiga hela Sana endapo we ndo utakuwa na kijiwe cha kuuza reja reja...!! Ila uwe na pesa ya charges zote za tozo , eg vibali vyote, Tozo zote, Kodi , na location nzuri ....!! Kiafya hyo kazi ni mbovu kuifanya Zaid ya miaka 15
 
Ok! Labda nikuulize kitu kaka..ili angalau niweze kuifanya kwa uchache sana niwe na mtaji wa kiasi gan
 
Le
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania,

Husika na kichwa cha habari hapo juu,

Nimevutiwa sana kufanya biashara ya kuuza mkaa, ambayo kwa kifupi nahitaji kuchoma tanuri mwenyewe mpaka hatua ya mwisho ...namaanisha kuingiza sokoni mwenyewe....sasa kwa faida ya wengine wasiojua ....nahitaji kwa anayefahamu anielekeze utaratibu upoje yaani kuanzia kibali cha kuchoma mpaka bidhaa inaingia sokon....!!

Aksanten

images

Nenda TFS, Omba kibali cha kuvuna mazao ya msitu shambani kwako, watakupa Kitu kinaitwa Forest Produce Allocation Certificate ya Mwaka mmoja bure, itabidi usajiriwe na kupata leseni ya kufanya biashara ya mazao ya misitu nadhani ni 250,000 baada ya hapo utaanza kuchoma Mkaa. Ukimaliza nenda ukaombe kibali cha kusafirisha Mkaa kwenda popote Tanzania ambapo kila gunia utalipia 12,500 baada ya hapo utakuwa huru kupeleka popote. Mimi nimefuata hayo na sasa niko shambani nachoma, nimepewa kibali cha kuvuna mkaa gunia 650 na nitauza popote kutakapokuwa na maslahi. Wateja karibuni
 
Mkuu vipi huhitaji washiriki/ partners,
 
Kama sheria zote za uchomaji mkaa ni sawa, badi kuna vitu unakosa na inaweza kukusumbua baadae.

Kwa mkoa wa Lindi kidogo mambo ni tofauti, maana lazima uanze kuomba kutoka Halmashauri ya kijiji ambapo unalipia 250k, baada ya hapo Halmashauri ikikupitisha unalipia 260k kwa ajili ya usajiri.

Baada ya usajiri unatakiwa kukata leseni ya biashara ambayo ni 115k hii leseni huwezi kupewa bila kuwa na Tax Clearance a, bayou ukienda kuitafuta TRA lazima wakugonge kuanzia 300k na kuendelea

Kama unauza mwenyewe na mkaa unadafirishia kutoka wilaya moja kwenda nyingine lazima kule utakapouzia ukate kubaki kingine ambacho ni 265k.

Udhauri; kama hiiyo Kazi unajifanya mikoa mingine tofauti na mikoa ya kusini na kuleta mkaa bongo itakulipa kama ni mikoa ya kusini sema ni wape ushauriwe maana tofauti na hapo hutopata Faida labda uuze mwenyewe.

NB: madalali wa hii Kazi ni watu wabaya Sana, jitahidi uwe na banda lako Ili wakikuxingua unashudha mzigo stoo.

Pia kumbuka hii Kazi si lele mama
 
Kuchoma mkaa sikia tu story kwa watu, mambo ni mengi ukijichanganya hata kimtaji chako kitaenda na maji
Unaweza choma mkaa ukafika mpka mjini na ukawa chini ya kiwango madalali wakaukataa au wakachukua kwa bei ya kutupa.
Si kuna mwaka tulijichanganya, tena mpka miti ilikuwa bure ila kilichotokea sitaki hata kukumbuka.

Kifupi jipange, mkaa si lelemama.
 
Le

Nenda TFS, Omba kibali cha kuvuna mazao ya msitu shambani kwako, watakupa Kitu kinaitwa Forest Produce Allocation Certificate ya Mwaka mmoja bure, itabidi usajiriwe na kupata leseni ya kufanya biashara ya mazao ya misitu nadhani ni 250,000 baada ya hapo utaanza kuchoma Mkaa. Ukimaliza nenda ukaombe kibali cha kusafirisha Mkaa kwenda popote Tanzania ambapo kila gunia utalipia 12,500 baada ya hapo utakuwa huru kupeleka popote. Mimi nimefuata hayo na sasa niko shambani nachoma, nimepewa kibali cha kuvuna mkaa gunia 650 na nitauza popote kutakapokuwa na maslahi. Wateja karibuni
Naomba namba yako ya simu
 
Kuchoma mkaa sikia tu story kwa watu, mambo ni mengi ukijichanganya hata kimtaji chako kitaenda na maji
Unaweza choma mkaa ukafika mpka mjini na ukawa chini ya kiwango madalali wakaukataa au wakachukua kwa bei ya kutupa.
Si kuna mwaka tulijichanganya, tena mpka miti ilikuwa bure ila kilichotokea sitaki hata kukumbuka.

Kifupi jipange, mkaa si lelemama.
Nini kiliwapata mkuu
 
Back
Top Bottom