I ItsMe92 Member Joined Nov 29, 2021 Posts 25 Reaction score 25 Sep 30, 2022 #1 Habari Nimewaza kuanza biashara ya kuuza mboga ya kisamvu Naombeni mawazo yenu juu ya changamoto zabiashara hii,..mfano kujua tofauti ya kisamvu na kisamvu-mpira, uhifadhi wa kisamvu, uaandaaji, uuzaji, n.k nitashukuru sana kwa mawazo yenu Asanteni
Habari Nimewaza kuanza biashara ya kuuza mboga ya kisamvu Naombeni mawazo yenu juu ya changamoto zabiashara hii,..mfano kujua tofauti ya kisamvu na kisamvu-mpira, uhifadhi wa kisamvu, uaandaaji, uuzaji, n.k nitashukuru sana kwa mawazo yenu Asanteni
B Brelim Skoro_ JF-Expert Member Joined Mar 29, 2014 Posts 14,943 Reaction score 37,231 Sep 30, 2022 #2 Boss unaongelea kilichoo andaliwa tayari kwa kupikwa au Yale majani yaliyochumwa toka mtini.
I ItsMe92 Member Joined Nov 29, 2021 Posts 25 Reaction score 25 Sep 30, 2022 Thread starter #3 Lloyd Munroe said: Boss unaongelea kilichoo andaliwa tayari kwa kupikwa au Yale majani yaliyochumwa toka mtini. Click to expand...
Lloyd Munroe said: Boss unaongelea kilichoo andaliwa tayari kwa kupikwa au Yale majani yaliyochumwa toka mtini. Click to expand...
I ItsMe92 Member Joined Nov 29, 2021 Posts 25 Reaction score 25 Sep 30, 2022 Thread starter #4 Ni yale majani mkuu
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 178,648 Reaction score 196,329 Oct 1, 2022 #5 Ngoja waje kukupa muongozo...
I ItsMe92 Member Joined Nov 29, 2021 Posts 25 Reaction score 25 Oct 1, 2022 Thread starter #6 Smart911 said: Ngoja waje kukupa muongozo... Click to expand... Sawa sawa kiongozi
B M F ICONIC JF-Expert Member Joined Jan 28, 2019 Posts 995 Reaction score 1,962 Oct 4, 2022 #7 ItsMe92 said: Habari Nimewaza kuanza biashara ya kuuza mboga ya kisamvu Naombeni mawazo yenu juu ya changamoto zabiashara hii,..mfano kujua tofauti ya kisamvu na kisamvu-mpira, uhifadhi wa kisamvu, uaandaaji, uuzaji, n.k nitashukuru sana kwa mawazo yenu Asanteni Click to expand... Hiyo biashara ifanye iwe kama side hustle maana wengi wetu Tanzania sio walaji wa mbogamboga asa kisamvu Ungeifanya kwa oda . Anayeitaji anakucheki before kutengeneza vinginevyo mboga itakua inlala bila walaji. Ushauri wangu uza mboga zote hata kama mtu ali kisamvu basi aondoke na spinach au mchicha
ItsMe92 said: Habari Nimewaza kuanza biashara ya kuuza mboga ya kisamvu Naombeni mawazo yenu juu ya changamoto zabiashara hii,..mfano kujua tofauti ya kisamvu na kisamvu-mpira, uhifadhi wa kisamvu, uaandaaji, uuzaji, n.k nitashukuru sana kwa mawazo yenu Asanteni Click to expand... Hiyo biashara ifanye iwe kama side hustle maana wengi wetu Tanzania sio walaji wa mbogamboga asa kisamvu Ungeifanya kwa oda . Anayeitaji anakucheki before kutengeneza vinginevyo mboga itakua inlala bila walaji. Ushauri wangu uza mboga zote hata kama mtu ali kisamvu basi aondoke na spinach au mchicha
I ItsMe92 Member Joined Nov 29, 2021 Posts 25 Reaction score 25 Oct 4, 2022 Thread starter #8 Mugacherere said: Hiyo biashara ifanye iwe kama side hustle maana wengi wetu Tanzania sio walaji wa mbogamboga asa kisamvu Ungeifanya kwa oda . Anayeitaji anakucheki before kutengeneza vinginevyo mboga itakua inlala bila walaji. Ushauri wangu uza mboga zote hata kama mtu ali kisamvu basi aondoke na spinach au mchicha Click to expand... Asante sana kwa ushauri kiongozi. Nashukuru sana
Mugacherere said: Hiyo biashara ifanye iwe kama side hustle maana wengi wetu Tanzania sio walaji wa mbogamboga asa kisamvu Ungeifanya kwa oda . Anayeitaji anakucheki before kutengeneza vinginevyo mboga itakua inlala bila walaji. Ushauri wangu uza mboga zote hata kama mtu ali kisamvu basi aondoke na spinach au mchicha Click to expand... Asante sana kwa ushauri kiongozi. Nashukuru sana
D Metakelfin JF-Expert Member Joined Mar 23, 2017 Posts 3,728 Reaction score 4,181 Oct 9, 2022 #9 Mi pia nina wazo hilo ila in different way kama uko interested tujoin hit my pm