Mimi nipo Dar es salaamInategemea hupo mkoa gani !.
kuna mda watu wanasafirisha kutoka Iringa, Mbeya, Shinyanga na maeneo yenye ufugaji.
Namaanisha hata nikipata anauza nguruwe mzima mzima ila kwa bei ambayo naweza kufanya biashara kuuzia watu wenye biashara za mabutcher na majiko ya kitimotoHata Iringa yenyewe mdudu hauuzwi 5000 kwa kilo!
sijui mwenzetu Upo mkoa gani unatafuta kilo kwa buku tano! Au Upo Burundi nini?
chakula kilivyo ghali huwezi kupata kwa bei hiyo, labda kwa mtu asiyeelwa.Namaanisha hata nikipata anauza nguruwe mzima mzima ila kwa bei ambayo naweza kufanya biashara kuuzia watu wenye biashara za mabutcher na majiko ya kitimoto
Huyo mtu naye hayupo zama zimebadilikachakula kilivyo ghali huwezi kupata kwa bei hiyo, labda kwa mtu asiyeelwa.
namba uliyoweka hapo nimepiga kapokea mwingine haelewi hata kisawahili. Ingia field, kwanza ujue bei ya jumla iliyopo kwa kipindi hiki, pili ujue ni watu wangapi wa majiko wako tayari kununua nyama kutoka kwako na uwezo wa kilo ngapi. Kazi ya kutafuta mdudu unipe, niko kibaha huku na nilishawahi kufanya moshi hivyo naelewa abcd zake. karibu kama utapenda hii comboNamaanisha hata nikipata anauza nguruwe mzima mzima ila kwa bei ambayo naweza kufanya biashara kuuzia watu wenye biashara za mabutcher na majiko ya kitimoto
Samahani sana Emamarki kupata huu usumbufu,number ni 0628487481namba uliyoweka hapo nimepiga kapokea mwingine haelewi hata kisawahili. Ingia field, kwanza ujue bei ya jumla iliyopo kwa kipindi hiki, pili ujue ni watu wangapi wa majiko wako tayari kununua nyama kutoka kwako na uwezo wa kilo ngapi. Kazi ya kutafuta mdudu unipe, niko kibaha huku na nilishawahi kufanya moshi hivyo naelewa abcd zake. karibu kama utapenda hii combo
Uko wapi?Samahani sana Emamarki kupata huu usumbufu,number ni 0628487481
Mbona unarudia kutoa namba ambayo sio yako,unatupa shida tunapiga anayepokea ata haelewi Nini tunazungumzia?Ni kwamba hauna namba nyingine?mna share no,au?Samahani sana Emamarki kupata huu usumbufu,number ni 0628487481
Hayuko seriousH
Mbona unarudia kutoa namba ambayo sio yako,unatupa shida tunapiga anayepokea ata haelewi Nini tunazungumzia?Ni kwamba hauna namba nyingine?mna share no,au?
mkuu unafanya hii biasharaNnavyojua,huku dar-mbezi (kimara) nyama mbichi bei ya jumla ni 7000 kwa kilo,na hata mtu akiwa na nguruwe wake atakuita uchinje thn mnapimiana kilo mtakazopata mnazidishiana kwa 7000.
Nipo Dar es salaamUko wapi?
Uberimae,pole kwa usumbufu ila hii number haijakosewaH
Mbona unarudia kutoa namba ambayo sio yako,unatupa shida tunapiga anayepokea ata haelewi Nini tunazungumzia?Ni kwamba hauna namba nyingine?mna share no,au?
Mkuu, chimbo gani Kimara ili?Nnavyojua,huku dar-mbezi (kimara) nyama mbichi bei ya jumla ni 7000 kwa kilo,na hata mtu akiwa na nguruwe wake atakuita uchinje thn mnapimiana kilo mtakazopata mnazidishiana kwa 7000.
Hapana ila ni mlaji na nipo karibu na wafanya biasharamkuu unafanya hii biashara
Mbezi ya kimara kakaMkuu, chimbo gani Kimara ili?