kitoto wa vitoto
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 375
- 419
Kunipeleka baa ndo umeharibu. Kwa nn usitafte nafS jNICCPoleni na hongeren kwa ubize wa kutwa nzima ya Leo,
Ni matumaini yangu tunaebdelea vizuri tukiwa na afya njema, kwa wenye changamoto polen na mungu atawasaidia.
Ndugu zangu nimepata aidia moja ya biashara ya kuuza kahawa,
WAZO LANGU LIKO HIVI,
nifanye research kwenye bar kubwa zilizochangamka na zilizo kwenye standard nzuri na ambazoziko bize muda mwingine hasa weekend n haziuzi kahawa,
Niongee na uongozi wanipangishie sehemu ndogo ndani ya hiyo bar nifanyie marekebisho ninavyotaka Mimi nilete mashine ya kahawa (espresso machine)
Niiweke na vifaa vinginevyo
Niwe nauza kahawa aina zote, milkshake na ice cream, smoothie na juis fresh, hot drinks
Vifaa vikubwa ni ni espresso machine na friza ndogo,
Je mnaonaje wazo LANGU?
Naombeni mawazo
Ushauri
Na maboresho kwenye wazo LANGU,
Temeke tunapiga mpaka cappuccino mkuuvacha dharauLocation ya Bar ipo wapi mfano? Unajua kuna Kahawa, Gahawa, na Coffee.
We unataka kuuza Coffee.
Sasa ukibugi location utamuuzia nani? Sisi wakazi wa Temeke tunanunua zile za mia mia kikombe. Sasa wewe utaleta za buku 5?
Cheza na location.
We utakua unakaa Mtoni Kijichi. Sisi wa Mwembe Yanha hapana.Temeke tunapiga mpaka cappuccino mkuuvacha dharau
Ndio mkuu namaanisha coffeeLocation ya Bar ipo wapi mfano? Unajua kuna Kahawa, Gahawa, na Coffee.
We unataka kuuza Coffee.
Sasa ukibugi location utamuuzia nani? Sisi wakazi wa Temeke tunanunua zile za mia mia kikombe. Sasa wewe utaleta za buku 5?
Cheza na location.
Naomba wazo lako brooKunipeleka baa ndo umeharibu. Kwa nn usitafte nafS jNICC
Idea nzuri.Ndio mkuu namaanisha coffee
Kuhusu locations nimelenga sehemu nyingi zilizo na movement angalau ya wageni /watalii na watu wa hadhi Fulani kama wanaofanya kwa ofisi kubwa na wafanyabiashara pia
Ni kweli na Wana maisha Safi sanaWazo zuri Wale local tu wanapiga hela kile kikombe kidogo kinauzwa tsh 100 alaf kahawa inanyweka masaa 24 hata wakati wa jua kali watu wanakunywa kuna wauza kahawa wamejenga kabisa
🤣😂😂 Dogo acha utanikuna wauza kahawa wamejenga kabisa
Ni kweli broo si utan[emoji1787][emoji23][emoji23] Dogo acha utani
Aise hata mimi awali nilivyosikia kuna wauza kahawa wamejenga nilikataa ila nilikuja kuthibitisha hiyo biashara inadharauliwa ila inafaida kubwa ukiwa vizuri maeneo ya mjini unauza hadi masaa 24, kikombe kinauza tsh 100 alaf ni kikombe kidogo sana pact 1 ya kahawa inachemsha sufuria kubwa kinoma🤣😂😂 Dogo acha utani
Ni kweli broo si utan
Wengi wanafamilia ,Aise hata mimi awali nilivyosikia kuna wauza kahawa wamejenga nilikataa ila nilikuja kuthibitisha hiyo biashara inadharauliwa ila inafaida kubwa ukiwa vizuri maeneo ya mjini unauza hadi masaa 24, kikombe kinauza tsh 100 alaf ni kikombe kidogo sana pact 1 ya kahawa inachemsha sufuria kubwa kinoma
Ni biashara nzuri. Kuna jamaa namfahamu, Rwanda lakini, alianza namna hii, na biashara yake iko city center Kigali. Sasa amefungua chain yake mwenyewe nadhani. Ila kule wanywaji kahawa ni wengi, I think, kuliko huku TZ. But biashara hii nzuri sana na ukiweza kupata location itakayowanasa foreigners nayo itakuwa poa zaidi. Places like Arusha yenye cool weather na lots of foreigners ni poa sana. Kuweka hii biashara hata kwenye big shopping malls pia poa au mahotelini Kila la kheri. Ila wazo zuri sana hili. Imenikumbusha Mug &Bean coffee house huko down SouthPoleni na hongeren kwa ubize wa kutwa nzima ya Leo,
Ni matumaini yangu tunaebdelea vizuri tukiwa na afya njema, kwa wenye changamoto polen na mungu atawasaidia.
Ndugu zangu nimepata aidia moja ya biashara ya kuuza kahawa:
WAZO LANGU LIKO HIVI,
nifanye research kwenye bar kubwa zilizochangamka na zilizo kwenye standard nzuri na ambazoziko bize muda mwingine hasa weekend n haziuzi kahawa.
Niongee na uongozi wanipangishie sehemu ndogo ndani ya hiyo bar nifanyie marekebisho ninavyotaka Mimi nilete mashine ya kahawa (espresso machine).
Niiweke na vifaa vinginevyo
- Niwe nauza kahawa aina zote, milkshake na ice cream, smoothie na juis fresh, hot drinks
- Vifaa vikubwa ni ni espresso machine na friza ndogo,
Je mnaonaje wazo LANGU?
Naombeni mawazo, ushauri na maboresho kwenye wazo LANGU,
Asante sana kwa ushauri kakaNi biashara nzuri. Kuna jamaa namfahamu, Rwanda lakini, alianza namna hii, na biashara yake iko city center Kigali. Sasa amefungua chain yake mwenyewe nadhani. Ila kule wanywaji kahawa ni wengi, I think, kuliko huku TZ. But biashara hii nzuri sana na ukiweza kupata location itakayowanasa foreigners nayo itakuwa poa zaidi. Places like Arusha yenye cool weather na lots of foreigners ni poa sana. Kuweka hii biashara hata kwenye big shopping malls pia poa au mahotelini Kila la kheri. Ila wazo zuri sana hili. Imenikumbusha Mug &Bean coffee house huko down South
Ushanipa wazo la biashara kesho kutwa utanikuta mtaaniPoleni na hongeren kwa ubize wa kutwa nzima ya Leo,
Ni matumaini yangu tunaebdelea vizuri tukiwa na afya njema, kwa wenye changamoto polen na mungu atawasaidia.
Ndugu zangu nimepata aidia moja ya biashara ya kuuza kahawa:
WAZO LANGU LIKO HIVI,
nifanye research kwenye bar kubwa zilizochangamka na zilizo kwenye standard nzuri na ambazoziko bize muda mwingine hasa weekend n haziuzi kahawa.
Niongee na uongozi wanipangishie sehemu ndogo ndani ya hiyo bar nifanyie marekebisho ninavyotaka Mimi nilete mashine ya kahawa (espresso machine).
Niiweke na vifaa vinginevyo
- Niwe nauza kahawa aina zote, milkshake na ice cream, smoothie na juis fresh, hot drinks
- Vifaa vikubwa ni ni espresso machine na friza ndogo,
Je mnaonaje wazo LANGU?
Naombeni mawazo, ushauri na maboresho kwenye wazo LANGU,a biashara