Kuna dogo yupo Salasala anafanya delivery kwa wateja wake wa cement
Alianza na Haoujue 2, akaja kununua kirikuu, canter sasa hivi ana gari kubwa
Mzigo anachukulia kiwandani na anakula deal na mawakala wa Twiga
Pia anajua kuishi na mafundi wakienda kumuungisha
Fanya delivery, cheza na mafundi na engineers
Baadaye fungua hardware ya vifaa vya ujenzi na kiwanda cha tofali utashika site mwanzo hadi mwisho
Alianza na mifuko 100