malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,788
- 4,475
watakuwa wanataka katiba mpya kwanza.Wakuu mmegoma kuchangia
Watakua wamekomaa kwa ndugaiWakuu mmegoma kuchangia
Ha ha ha mkuu achana na ndugai changia mada hukungoja kwanza tujue mwisho wa Ndugai tutarudi kikieleweka...
Ntampataje anaeuza gari ambae yeye ndio mmiliki Halali namna yakumpata kujua anauza gari yakeMm naifanya hyo bzness...ila n kama part time flan hv..inanilipa kiasi chake
Cha kujua ni kuwa n lazma ujuane na mtu anaeuza gari..usijichanganye uwe unanunua kwa madalali..itakula kwako..nunua gari kwa mmiliki wa gari..huo ndo ushaur wangu
Download app ya kupatana, utapata wamiliki wengi wanaouza magari yaoNtampataje anaeuza gari ambae yeye ndio mmiliki Halali namna yakumpata kujua anauza gari yake
Kwa kifupi ni lazima uwe dalali ambaye hategemei udalali kuendesha maisha...πππMm naifanya hyo bzness...ila n kama part time flan hv..inanilipa kiasi chake
Cha kujua ni kuwa n lazma ujuane na mtu anaeuza gari..usijichanganye uwe unanunua kwa madalali..itakula kwako..nunua gari kwa mmiliki wa gari..huo ndo ushaur wangu
Hapana sio lazima uwe dalali unaweza ukawa namishe nyingine zakukuingizia kipato kila Ila hii ikawa Kama part time maana inakua nimoja yakuongeza kipatoKwa kifupi ni lazima uwe dalali ambaye hategemei udalali kuendesha maisha...[emoji23][emoji23][emoji23]
Maana yangu ya kuwa dalali ni kwamba, hauwezi kuwa na hiyo connection ya watu wanaouza magari yao ili ulenge bila kujihusisha na u-mtu wa kati kwenye hiyo biasharaHapana sio lazima uwe dalali unaweza ukawa namishe nyingine zakukuingizia kipato kila Ila hii ikawa Kama part time maana inakua nimoja yakuongeza kipato
Pia ni vizuri ukawa na fundi wako ambaye atakuwa anakukagulia gari, ukihitaji ninae mdogo wangu makenika hana tamaa dogo.. Atakuchekia kama gari ishawahi kula mzinga anatambua..Habar wakuu Nina idea yakufanya biashara ya kulenga magari .yaan nanunua gari za Bei ndogo 4m,3.5m,5m Kisha kuziuza kuzitafutia wateja kwa faida ya pesa kidgo kuanzia 500000..wajuzi wamambo nipeni naujanja Sina uzoefu wowote wa magari
ukiwa mtu wa kati wewe ni dalaliHapana sio lazima uwe dalali unaweza ukawa namishe nyingine zakukuingizia kipato kila Ila hii ikawa Kama part time maana inakua nimoja yakuongeza kipato