Elifuraha Longu Member Joined May 8, 2014 Posts 73 Reaction score 10 Jun 29, 2015 #1 Ujasiriamali kwanza. Mfanyabiashara wa kuku au mtu yeyote anayehitaji kuku wa kienyeji naweza kumpatia, size utakayo wewe. Nipo Arusha. Kwa anahitaji aniPM au nipigie kwa simu namba; 0689531349
Ujasiriamali kwanza. Mfanyabiashara wa kuku au mtu yeyote anayehitaji kuku wa kienyeji naweza kumpatia, size utakayo wewe. Nipo Arusha. Kwa anahitaji aniPM au nipigie kwa simu namba; 0689531349
M maisethfuraha New Member Joined May 30, 2015 Posts 1 Reaction score 0 Jun 29, 2015 #2 Hivi hao kuku inalipa mzee?? Natamani sana kufuga ila cna elimu nao vizuri
Elifuraha Longu Member Joined May 8, 2014 Posts 73 Reaction score 10 Jun 29, 2015 Thread starter #3 maisethfuraha said: Hivi hao kuku inalipa mzee?? Natamani sana kufuga ila cna elimu nao vizuri Click to expand... Kuku wanalipa sana, kama wewe unafanya biashara elimu si muhimu kivile lakini kama utafuga elimu inahitajika.
maisethfuraha said: Hivi hao kuku inalipa mzee?? Natamani sana kufuga ila cna elimu nao vizuri Click to expand... Kuku wanalipa sana, kama wewe unafanya biashara elimu si muhimu kivile lakini kama utafuga elimu inahitajika.