Habari wana JF
natangaza kufanya biashara ya kuku wa kienyeji na kisasa pia, mimi nipo IRINGA natafuta shilika watu/mtu yeyote yule ambaye ana husika/kujishugulisha katika biashara ya kuku, wawe maeneo tofauti either kitonga,morogoro, dar es salaam,dodoma, mtera na n.k
kama upo tayari kwa biasha hii naomba uni PM ili tupeane contact.
Asante!