Biashara ya kuchapisha viroba.

Kembamba

Member
Joined
Mar 30, 2017
Posts
64
Reaction score
30
Habari,wadau nauliza Kwa mwenye ufahamu juu ya biashara ya kuprint viroba mfano Vya sembe Kwa wanaosagisha mahindi na hata mifuko mingine.
Kwa anayefahamu:
1:Upatikanaji wa printa na bei zake.
2:Uendeshaji wake na changamoto zake.
3:Upatikanaji wa viroba.
 
Naweza kupataje viroba vya kutunzia mazao kama mahindi kwa bei nafuu kwa ajili ya biashara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…