Process,
-Uwe na kitalu cha madini ya kokoto
-Uwe na leseni ya uchimbaji madini, kwa wewe unatakiwa uwe na PML, Primary Mining License
-Uwe na leseni ya ukaguzi wa mazingira, NEMC
-Osha
-Leseni ya biashara
Biashara nzuri ila kama una mtaji wa mawazo sikushauri. Kuna wakati Crasher likizingua kiji spare kdgo tu....kipuri chake 15 - 20 M....hujamlipa mechanics afunge hapo. Wanaofanya hizi mambo mara nyingi wana kampuni za ujenzi.