mazoya3 Member Joined Oct 27, 2015 Posts 5 Reaction score 0 Jan 4, 2019 #1 Ndugu zangu natangaza biashara ya vitunguu ambavyo bado vipo shamba ila mwisho wa mwezi huu vitakua tayari Eneo ni tarime mkoa wa mara. Hecta 2 tuu. Asanteni sana. Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu zangu natangaza biashara ya vitunguu ambavyo bado vipo shamba ila mwisho wa mwezi huu vitakua tayari Eneo ni tarime mkoa wa mara. Hecta 2 tuu. Asanteni sana. Sent using Jamii Forums mobile app
mazoya3 Member Joined Oct 27, 2015 Posts 5 Reaction score 0 Jan 4, 2019 Thread starter #2 mazoya3 said: Ndugu zangu natangaza biashara ya vitunguu ambavyo bado vipo shamba ila mwisho wa mwezi huu vitakua tayari Eneo ni tarime mkoa wa mara. Hecta 2 tuu. Asanteni sana. Kwa mawasiliano. 0685125398 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand...
mazoya3 said: Ndugu zangu natangaza biashara ya vitunguu ambavyo bado vipo shamba ila mwisho wa mwezi huu vitakua tayari Eneo ni tarime mkoa wa mara. Hecta 2 tuu. Asanteni sana. Kwa mawasiliano. 0685125398 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand...
P PetersonBay Member Joined Nov 26, 2016 Posts 69 Reaction score 15 Jan 4, 2019 #3 Unauzaje Sent using Jamii Forums mobile app
Kanungila Karim JF-Expert Member Joined Apr 29, 2016 Posts 20,746 Reaction score 25,638 Jan 4, 2019 #4 Unauza kitunguu au vitunguu? FaizaFoxy soma taito hiyo
I igihumbi JF-Expert Member Joined Feb 20, 2017 Posts 571 Reaction score 548 Jan 4, 2019 #5 mkuu weka bei na mawasiliano yako tukutafute
mazoya3 Member Joined Oct 27, 2015 Posts 5 Reaction score 0 Jan 4, 2019 Thread starter #6 Samahanini sana wakuu kama nilivyo anza kueleza apo awali kitunguu hichi bado mda wa mavuno naomba radhi kwa usumbufu ila mwisho wa mwezi huu nitaleta kila kinacho itajika kukamilisha biashara hii Asanteni sana Sent using Jamii Forums mobile app
Samahanini sana wakuu kama nilivyo anza kueleza apo awali kitunguu hichi bado mda wa mavuno naomba radhi kwa usumbufu ila mwisho wa mwezi huu nitaleta kila kinacho itajika kukamilisha biashara hii Asanteni sana Sent using Jamii Forums mobile app
stephot JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 17,746 Reaction score 27,214 Jan 4, 2019 #7 Utapiga hela,usiwe na hofu.. Sent using Jamii Forums mobile app
mazoya3 Member Joined Oct 27, 2015 Posts 5 Reaction score 0 Jan 4, 2019 Thread starter #8 stephot said: Utapiga hela,usiwe na hofu.. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Nakushukuru ila naomba mawazo yeu pia maana ni mara yangu ya kwanza kabisa kuanza biashara hii na ni mavuno yangu ya kwanza kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
stephot said: Utapiga hela,usiwe na hofu.. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Nakushukuru ila naomba mawazo yeu pia maana ni mara yangu ya kwanza kabisa kuanza biashara hii na ni mavuno yangu ya kwanza kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
I igihumbi JF-Expert Member Joined Feb 20, 2017 Posts 571 Reaction score 548 Jan 4, 2019 #9 mazoya3 said: Nakushukuru ila naomba mawazo yeu pia maana ni mara yangu ya kwanza kabisa kuanza biashara hii na ni mavuno yangu ya kwanza kabisa Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... nipe namba yako tuyajenge mkuu
mazoya3 said: Nakushukuru ila naomba mawazo yeu pia maana ni mara yangu ya kwanza kabisa kuanza biashara hii na ni mavuno yangu ya kwanza kabisa Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... nipe namba yako tuyajenge mkuu