Biashara ya Kebabs za Vyura Nigeria

Biashara ya Kebabs za Vyura Nigeria

chakufia nini

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2015
Posts
692
Reaction score
456
Hii ni namna tangu wanavyokamatwa hadi kuandaliwa kwa ajili ya msosi.

Biashara ubunifu.
_82472273_1_editd.jpg

_82446496_2_edited.jpg

_82454145_pic-3_1000_edited.jpg

_82446494_7_edited.jpg

_82446502_5b_edited3.jpg


Chanzo: BBC
 
Huu ni zaidi ya ukweli
Mkuu kila sehem wanakula chakula kutokana na mazingira yao kama nyoka wachina tena wenye sumu kali,panya malawi,viwavi zambia na msumbiji,zambia nyani northern province na congo ivyo ni baadhi tu bt sehem nyingi huliwa vtu ambavyo sehem ingine hawaliwi.
 
Wafaransa wanakula sana vyura kama delicacy na wachina wanawala kama ni good luck, maajabu lakini ni kweli. Kama mtu anawapata kwa urahisi au kuwafuga kwa wingi na kufungua hotel kwa kuwahudumia wachina atapiga hela sana
 
Sijui nimeingalia huyo picha nikiwa na njaa au uchuwangu tuu,..ila mate yamenijaa mdomoni kwakweli.
Kazi kwa mainnovator watuletee iPhone100 yenyeywezo wakudownload harufu na ladha tujishibie zetu online sie😋😋😋😋😋
 
Back
Top Bottom