Senior masai
Member
- Jul 7, 2016
- 93
- 99
Namaanisha Kuna watu wanatafta ajira sana mtaani wanakosa na wakati Kanda hii kupanga chumba Kwa mwezi single ni 10k double ni 20k per month na Kuna godoro hadi zimetengenezwa na mpunga zinauzwa 10k zina life span ya miezi9"Hautakua sawa na mtu wa ofisini au kuajiriwa". Una maana gani mkuu, nahio sentensi. Kuna Jamaa ambae kaajiriwa anavuta mshahara mil 5 mwingine mil 27 per month.
Na kunadogo langu kaajiriwa lakini analipwa Mili 2.3 lkn Kila mwaka ukiisha wanapewa kiunua mgongo ambacho kinaanzia mil 20 Kwa mtu mmoja, hii haihusiani na mafao ya NSSF, hii nisawa na asante Kwa kutumia kampuni mwaka mzima.
Je watu kama hawa kwahio biashara utakua sawa nao?.
Sio Kila waajiriwa wananjaa. BTW nimejiajiri.
Mkuu kanda ya ziwa n kubwa kama ni hapo Shy town au Tabora Bora uwe specific n eneo gani .. ili mtu ajue inakuajeWana great thinkers Kuna mishe ya karanga ndani ya mikoa ya Kanda ya ziwa
TABORA SHINYANGA
Kuna aina tatu za karanga
RED ndogo ndogo rd
RED kubwa kubwa (TIRA) RD
NYEUPE (WHITE) wt
Utofauti wa bei upo katika mchanganuo ufuatao
rd ndo karanga zenye hadhi na bei nzuri ila na zenyewe zinapanda na kushuka bei according to kiwango Cha karanga sokoni.
Gunia la karanga lenye maganda unanunua 50k-55k linatoa from 30kgs+ Kwa karanga nzito na nzuri
Bei zake sokoni ni 2400/= ukiwa kijijini unakobolea kila kilo 50/= usafiri + ushuru 50/=
Ucsahau Kuna udalali 1000/= kila gunia la maganda coz wasukuma wanataka kuwapa wasukuma wenzao au kama unataka mzigo haraka
Like wise Kwa karanga RED KUBWA KUBWA sokoni ni 2300/= porini gunia ni 45k - 50k vingine vinafanana
White inakulipa in local markets, hakikisha unapata eneo la biashara na watu waaminifu, Hela utaziona sana!! Hutakua sawa na mtu alieko ofisini au kuajiriwa!
Make sure you prepare to handle all the stress around and welcome to the new challenge
Ngoja nikuje hkoWana great thinkers Kuna mishe ya karanga ndani ya mikoa ya Kanda ya ziwa

Soko kubwa na lenye faida lipo shinyanga kahama ambapo ndo warundi na wanyarwanda ndo wapo wengi kama mabosi wa kununua!! TABORA pia wamo kaliua, ulowa, and kahama ni maeneo mengi including segese njia ya kakolaMkuu kanda ya ziwa n kubwa kama ni hapo Shy town au Tabora Bora uwe specific n eneo gani .. ili mtu ajue inakuaje
Mkuu iyo Biashara Kwa MFANYAKAZI unaifanyaje, hasa Kazi hizi za muda wote upo kazini.Wana great thinkers Kuna mishe ya karanga ndani ya mikoa ya Kanda ya ziwa
TABORA SHINYANGA
Kuna aina tatu za karanga
RED ndogo ndogo rd
RED kubwa kubwa (TIRA) RD
NYEUPE (WHITE) wt
Utofauti wa bei upo katika mchanganuo ufuatao
rd ndo karanga zenye hadhi na bei nzuri ila na zenyewe zinapanda na kushuka bei according to kiwango Cha karanga sokoni.
Gunia la karanga lenye maganda unanunua 50k-55k linatoa from 30kgs+ Kwa karanga nzito na nzuri
Bei zake sokoni ni 2400/= ukiwa kijijini unakobolea kila kilo 50/= usafiri + ushuru 50/=
Ucsahau Kuna udalali 1000/= kila gunia la maganda coz wasukuma wanataka kuwapa wasukuma wenzao au kama unataka mzigo haraka
Like wise Kwa karanga RED KUBWA KUBWA sokoni ni 2300/= porini gunia ni 45k - 50k vingine vinafanana
White inakulipa in local markets, hakikisha unapata eneo la biashara na watu waaminifu, Hela utaziona sana!! Hutakua sawa na mtu alieko ofisini au kuajiriwa!
Make sure you prepare to handle all the stress around and welcome to the new challenge
Tunaweza kuchekiana ndugu.Wana great thinkers Kuna mishe ya karanga ndani ya mikoa ya Kanda ya ziwa
TABORA SHINYANGA
Kuna aina tatu za karanga
RED ndogo ndogo rd
RED kubwa kubwa (TIRA) RD
NYEUPE (WHITE) wt
Utofauti wa bei upo katika mchanganuo ufuatao
rd ndo karanga zenye hadhi na bei nzuri ila na zenyewe zinapanda na kushuka bei according to kiwango Cha karanga sokoni.
Gunia la karanga lenye maganda unanunua 50k-55k linatoa from 30kgs+ Kwa karanga nzito na nzuri
Bei zake sokoni ni 2400/= ukiwa kijijini unakobolea kila kilo 50/= usafiri + ushuru 50/=
Ucsahau Kuna udalali 1000/= kila gunia la maganda coz wasukuma wanataka kuwapa wasukuma wenzao au kama unataka mzigo haraka
Like wise Kwa karanga RED KUBWA KUBWA sokoni ni 2300/= porini gunia ni 45k - 50k vingine vinafanana
White inakulipa in local markets, hakikisha unapata eneo la biashara na watu waaminifu, Hela utaziona sana!! Hutakua sawa na mtu alieko ofisini au kuajiriwa!
Make sure you prepare to handle all the stress around and welcome to the new challenge
Mzigo kuupata sio tabu ,mfano gunia 100 inaweza chukua muda gani?Wana great thinkers Kuna mishe ya karanga ndani ya mikoa ya Kanda ya ziwa
TABORA SHINYANGA
Kuna aina tatu za karanga
RED ndogo ndogo rd
RED kubwa kubwa (TIRA) RD
NYEUPE (WHITE) wt
Utofauti wa bei upo katika mchanganuo ufuatao
rd ndo karanga zenye hadhi na bei nzuri ila na zenyewe zinapanda na kushuka bei according to kiwango Cha karanga sokoni.
Gunia la karanga lenye maganda unanunua 50k-55k linatoa from 30kgs+ Kwa karanga nzito na nzuri
Bei zake sokoni ni 2400/= ukiwa kijijini unakobolea kila kilo 50/= usafiri + ushuru 50/=
Ucsahau Kuna udalali 1000/= kila gunia la maganda coz wasukuma wanataka kuwapa wasukuma wenzao au kama unataka mzigo haraka
Like wise Kwa karanga RED KUBWA KUBWA sokoni ni 2300/= porini gunia ni 45k - 50k vingine vinafanana
White inakulipa in local markets, hakikisha unapata eneo la biashara na watu waaminifu, Hela utaziona sana!! Hutakua sawa na mtu alieko ofisini au kuajiriwa!
Make sure you prepare to handle all the stress around and welcome to the new challenge
Twende Kwa numbers zaidiWana great thinkers Kuna mishe ya karanga ndani ya mikoa ya Kanda ya ziwa
TABORA SHINYANGA
Kuna aina tatu za karanga
RED ndogo ndogo rd
RED kubwa kubwa (TIRA) RD
NYEUPE (WHITE) wt
Utofauti wa bei upo katika mchanganuo ufuatao
rd ndo karanga zenye hadhi na bei nzuri ila na zenyewe zinapanda na kushuka bei according to kiwango Cha karanga sokoni.
Gunia la karanga lenye maganda unanunua 50k-55k linatoa from 30kgs+ Kwa karanga nzito na nzuri
Bei zake sokoni ni 2400/= ukiwa kijijini unakobolea kila kilo 50/= usafiri + ushuru 50/=
Ucsahau Kuna udalali 1000/= kila gunia la maganda coz wasukuma wanataka kuwapa wasukuma wenzao au kama unataka mzigo haraka
Like wise Kwa karanga RED KUBWA KUBWA sokoni ni 2300/= porini gunia ni 45k - 50k vingine vinafanana
White inakulipa in local markets, hakikisha unapata eneo la biashara na watu waaminifu, Hela utaziona sana!! Hutakua sawa na mtu alieko ofisini au kuajiriwa!
Make sure you prepare to handle all the stress around and welcome to the new challenge
Nakazia tupate jibu hapa.Twende Kwa numbers zaidi
Gunia umenunua 55,000/-
Umepata 30kg
Kukoboa na usuhuru = TZS 100/kg
Hivyo ni TZS 3,000/- Kwa gunia
Ukiuza kg 30 x 2,400 = TZS 72,000/- Kwa gunia.
Faida Kwa gunia
= 72,000 - 55,000 - 3,000
= 14,000/-
Kwa siku unaweza kuuza gunia ngapi? Vipi gharama zingine kama chakula na malazi?
So una 4000 ya ushuru na usafiri, then 1000 ya udalali kila gunia.Wana great thinkers Kuna mishe ya karanga ndani ya mikoa ya Kanda ya ziwa
TABORA SHINYANGA
Kuna aina tatu za karanga
RED ndogo ndogo rd
RED kubwa kubwa (TIRA) RD
NYEUPE (WHITE) wt
Utofauti wa bei upo katika mchanganuo ufuatao
rd ndo karanga zenye hadhi na bei nzuri ila na zenyewe zinapanda na kushuka bei according to kiwango Cha karanga sokoni.
Gunia la karanga lenye maganda unanunua 50k-55k linatoa from 30kgs+ Kwa karanga nzito na nzuri
Bei zake sokoni ni 2400/= ukiwa kijijini unakobolea kila kilo 50/= usafiri + ushuru 50/=
Ucsahau Kuna udalali 1000/= kila gunia la maganda coz wasukuma wanataka kuwapa wasukuma wenzao au kama unataka mzigo haraka
Like wise Kwa karanga RED KUBWA KUBWA sokoni ni 2300/= porini gunia ni 45k - 50k vingine vinafanana
White inakulipa in local markets, hakikisha unapata eneo la biashara na watu waaminifu, Hela utaziona sana!! Hutakua sawa na mtu alieko ofisini au kuajiriwa!
Make sure you prepare to handle all the stress around and welcome to the new challenge
Kilo ya Mchele hapo Kanda ya ziwa ni bei gani? Vipi Kilo Nyama ya ng'ombeMahesabu ya kilo 30 Kwa gunia ni mahesabu ya chini kama limekukata sana na hapo tunahesabu kwamba limekupga hasara!! Afu Kanda ya ziwa Kwa wale wenyeji chakula hakijawahi kuwa tatizo huku!! We tembea uone uckae sehem Moja!!