Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,017
- 132,748
JR mpya, kwa kuanzia wanaitwa kamba koche (lobster) na sio kambakochi!, katika sea food, huyu ndio the most expensive sea food, akifuatiwa na kamba, (prone).Kwenye bandiko lako, umeleta hoja tatu za msingi, 1. Shauku yako ya siku nyingi kusafirisha kwenda China kwa sababu ndiko kwenye soko kubwa.2. Biashara hii hujawahi kufanya na huna uzoefu nayo.3. Unaomba msaada kwa wanaojua.Kabla sijakusaidia, naomba maelezo yako kidogo hiyo shauku yako ya siku nyingi ilitokana na nini kwa biashara ambayo huijui wala hujawahi kuifanya, kiasi cha kupanga hadi lini biashara inaanza?!. Nilidhani ulipata shauku kutokana na sababu fulani, na hizo sababu ndizo zikakuelekeza China ndio soko kubwa, sasa utaanzaje biashara ambayo huijui, huna uzoefu nayo, nilidhani shauku yako ulipata kwa wenye uzoefu?!.Mimi sijui lolote kuhusu biashara hii zaidi ya kujua kamba wanapatikana kwa wingi delta ya Rufiji.Kiendo cha kuwa na shauku ndio mambo yote, mengine yote yatafuatia, ila ulipaswa kabla hujaamua kuanza biashara fulani, ulipaswa kuanza na homework yako na sio kupanga hadi tarehe ndio unakuja hapa jf kutoa homework!. Kwa maoni yangu, ndugu yangu wewe bado sana ila penye nia pana njia!.PascoMoja ya shauku yangu ya siku nyingi sana ni kusafirisha samaki aina ya kambakochi kwenda China maana ndio soko na uhitaji mkubwa wa kamba kochi ulipo. Biashara hii mimi sijawahi fanya wala sina uzoefu nayo. Hivyo kukiwa kuna yeyote anaifanya biashara hii au anaufahamu wa namna moja au nyingine kuhusiana na biashara hii ya kambakochi, naomba mchango wenu katika hili.
JR mpya, kwa kuanzia wanaitwa kamba koche (lobster) na sio kambakochi!, katika sea food, huyu ndio the most expensive sea food, akifuatiwa na kamba, (prone).Kwenye bandiko lako, umeleta hoja tatu za msingi, 1. Shauku yako ya siku nyingi kusafirisha kwenda China kwa sababu ndiko kwenye soko kubwa.2. Biashara hii hujawahi kufanya na huna uzoefu nayo.3. Unaomba msaada kwa wanaojua.Kabla sijakusaidia, naomba maelezo yako kidogo hiyo shauku yako ya siku nyingi ilitokana na nini kwa biashara ambayo huijui wala hujawahi kuifanya, kiasi cha kupanga hadi lini biashara inaanza?!. Nilidhani ulipata shauku kutokana na sababu fulani, na hizo sababu ndizo zikakuelekeza China ndio soko kubwa, sasa utaanzaje biashara ambayo huijui, huna uzoefu nayo, nilidhani shauku yako ulipata kwa wenye uzoefu?!.Mimi sijui lolote kuhusu biashara hii zaidi ya kujua kamba wanapatikana kwa wingi delta ya Rufiji.Kiendo cha kuwa na shauku ndio mambo yote, mengine yote yatafuatia, ila ulipaswa kabla hujaamua kuanza biashara fulani, ulipaswa kuanza na homework yako na sio kupanga hadi tarehe ndio unakuja hapa jf kutoa homework!. Kwa maoni yangu, ndugu yangu wewe bado sana ila penye nia pana njia!.Pasco
Vipi kuhusu hiyo ya kaa iko vipi!!? Unaendelea kuifanya au nayo uliiacha!!!?
Asante sana, masai dada mimi nilikuwa silifahamu hili, sasa nimeelewa!!!
Kupatikana wanapatikana tena kwa wingi!!! Wazo lako la kusupply kwenye mahotel ya hapahapa kwanza nalo ni zuri nitalifanyia kazi!! Asante sana Rene Jr!!!!
Mkuu hebu funguka wapi wanapatikana kwa wingi...sababu mimi niliwatafuta sana hadi nikaenda sehemu moja inaitwa KISIJU kwenye kisiwa kinachoitwa KWALE niliwakuta wachacheTulishindana kwenye bei walikuwa wanuza elf 70 kwa kg Kama unauhakika wakuwapata kwa wingi huna sababu yakusafirisha NJE ya NCH soko la ndani ni kubwa sana
Hii biashara nilipata oda sehem flan sasa kuna jamaa kanambia msumbiji wanapatikana kwa wingi na Bei aliyoniambia ingenilipa sasa alichonitisha nikwamba wakati wakurudi inatakiwa tupite njia ya Baharini manake tutumie BOAT kuvuka badala ya barabara ilikuwepa Askari BODA duh,,,,tangu cku hiyo nikaachana wazo lakwenda huko kwa biashara hiyo
naona wengi wanasema lobster ni samaki HAPANA
lobster ni CRUSTACEA