Habarini wana jf nina mtaji wa 310,000 tsh lkn natak nitumie 150,000/= kufany biashara ya juisi za matunda. Naombeni ushauri sina blender wala freezer.
Nawasilisha
Bado najiuliza humu jf mada muhimu fikirishi na zenye tija nyingi hua hazina comment nyingi wala madini ,
Kuliko zenye ubishani ndani yake au mapenzi ina maana wa Tanzania ndio tuko level moja ya IQ, hatuna elimu nazo au uchoyo?🤔
Plan ni kuifanyia wapi? Bar kisha unaweka kisehemu cha juice? Eneo tu la nje kwenye population?
Hicho kibanda nmekupa idea 😁 tafuta location nzuri, jitahidi usafi....
You can start where you are, tangeneza juice nenda kaweke kwenye freezer la jirani utachangia umeme. chukua juice kauze mpaka upate lako. kama ni ngumu nenda kanunue freezer used kwa hiyo 150k then tafuta mtaji wa juice kuhusu brender daaaaaah unaweza hata kuazima au kukodi