stringerbell
Member
- Feb 19, 2010
- 86
- 0
Sehemu nyingi ni shilingi 1000 kwa saa moja ila hii ni kwa nje ya jiji , kati kati ya mji ni alfu 1500 kwa saa moja kwingine ni 1000 kwa Nusu saa inategemea na maeneo kwa sasa biashara ya net inalipa kwa kiasi kikubwa unatakiwa utafute location nzuri tu , uwe na wafanyakazi wazuri na pia komputa nzuri matatizo ya connection ya internet sio ishu siku hizi ni wewe tu
Me nadhani kwa kuanza, ungeanzisha wireless hotspot. Watu wengi wana laptop hapa bongo. Kwa pale mlimani city kuanzisha internet cafe, unabidi ujiandae na renting fee ambayo ni ya kufa mtu.
Ila, unaweza ukapata sehemu karibu na mlimani city, then ukatafuta wireless device ambayo ni powerful inayoweza ku beam hadi pale mlimani city. Wireless network yako isiwe na security, ili kila mtu aweze ku connect.
Ila after connection, they get a message on how to pay to get a service. This is easy to do na kuna software zinasupport. Alafu, wewe unatengeneza voucher cards zenye activation code zinazoweza kumpa mtu muda wa saa 1 2, 3 kutokana na mahitaji. Ongea na watu wa pale restaurants wakuuzie hizo vouchers kwa commission flani.
Kama upo US, kupata powerful wireless devide its easy. I know how to assemble equipments that ca beam up to 10 - 15 km distance. So ukiwa pale karibu na mlimani city, unaweza uka beam mpaka ubungo bila wasi wasi. It will roughly cost around 300 - 400 bucks.
sasa kiasi gani renting fee pale mlimani ?kwakweli bei nzuri tuu kwa saa mimi nitachaji kwa saa 1000 na natarajia kuweka 20 pc.kuna jambo tu ambalo nimekuwa disapointed nasikia internet provider bado wanatumia sattelite connection na vile vile bei yake ni kubwa mno kwa unlimited .ukitizama huku nje sasa hivi internet provider wanatumia fibre optic connection which is very fast .na bei kwa mwezi ni kama $40 per month the speed you get is 50mb and is unlimited.nilijaribu kuuliza bei kwa kampuni inayoitwa zanzilink kwakweli bei yao kwa unlimited imenikatisha tamaa .530 dollar per month.hatari tupuMe nadhani kwa kuanza, ungeanzisha wireless hotspot. Watu wengi wana laptop hapa bongo. Kwa pale mlimani city kuanzisha internet cafe, unabidi ujiandae na renting fee ambayo ni ya kufa mtu.
Ila, unaweza ukapata sehemu karibu na mlimani city, then ukatafuta wireless device ambayo ni powerful inayoweza ku beam hadi pale mlimani city. Wireless network yako isiwe na security, ili kila mtu aweze ku connect.
Ila after connection, they get a message on how to pay to get a service. This is easy to do na kuna software zinasupport. Alafu, wewe unatengeneza voucher cards zenye activation code zinazoweza kumpa mtu muda wa saa 1 2, 3 kutokana na mahitaji. Ongea na watu wa pale restaurants wakuuzie hizo vouchers kwa commission flani.
Kama upo US, kupata powerful wireless devide its easy. I know how to assemble equipments that ca beam up to 10 - 15 km distance. So ukiwa pale karibu na mlimani city, unaweza uka beam mpaka ubungo bila wasi wasi. It will roughly cost around 300 - 400 bucks.
Twambie basi wanajalia nini na hiyo cafe hapo mwenge inaitwaje nasi tukapate darasa nduguNdugu yangu wako watu wengi wanaofanya biashara za internet na zinafanikiwa kwa kiasi kikubwa wanalipa bei hizo hizo kubwa sema kuna mambo ya kitaalamu unatakiwa kuangalia sana na kufuatilia kwa karibu haswa kwenye komputa zako bila mteja wako kuhangaika anapotaka vitu vingi unajua kwa mfano wengi hawana huduma za hapo kwa hapo kama miziki and so on unakuta mwingine amekuja kwa mfano kuangalia au kutafuta miziki ya kisasa kwanini usidownload usiwe nayo kwenye server mtu akitaka apewe na sio kudonwload ? hiyo ni moja kuna mengi na mengi sana ya kufanya kuvutia wateja
Kuna internet cafe moja mitaa ya mwenge inafunguliwa masaa 24 hata kama mtandao umekatika watu wamejaa uliza wanajalia nini jamaa ameshajua wanataka nini
mkuuMkuu,
Hisabati inayoweza kuumiza kichwa ni kwamba watoa huduma wengi kama TTCL wanatoza viwango kwa kiasi cha data (Megabytes per month, etc.) wakati wewe mwenye mgahawa unategemewa utoze wateja wako kwa masaa.
Kwa hiyo kinadharia, kama mtandao una kasi kubwa sana wateja watatu wanaweza ku download movie tatu ndani ya masaa matatu, gigabyte 12 hizo, halafu wakakupa shilingi ngapi, 500/= X watu 3 X masaa 3, shilingi 4500!
Unajua gigabyte 12 Tanzania zinauzwa kiasi gani na hawa kina TTCL, niamini, sio 4500/=.
Unafanyaje? Unafunga software ya kupunguza makali ya kasi ya mtandao kwa wateja wako, kichekesho. Mteja anakaa nusu saa anasubiri barua pepe moja ifunguke. Kama ni mteja mwenye ufahamu, kama hawa watumia "hotspot" ataona kwa nini asende kununua vocha ya Zantel akatumie nyumbani kwa mda wake?
sasa kiasi gani renting fee pale mlimani ?kwakweli bei nzuri tuu kwa saa mimi nitachaji kwa saa 1000 na natarajia kuweka 20 pc.kuna jambo tu ambalo nimekuwa disapointed nasikia internet provider bado wanatumia sattelite connection na vile vile bei yake ni kubwa mno kwa unlimited .ukitizama huku nje sasa hivi internet provider wanatumia fibre optic connection which is very fast .na bei kwa mwezi ni kama $40 per month the speed you get is 50mb and is unlimited.nilijaribu kuuliza bei kwa kampuni inayoitwa zanzilink kwakweli bei yao kwa unlimited imenikatisha tamaa .530 dollar per month.hatari tupu
Mkuu wewe uko majuu.njoo na wazo kubwa zaidi la kibiashara.haya mambo ya internate cafe waachie wabongo wa hapa hapa ambao.kwanini kila mtu aige biashara, kwani nini usifikirie wazo jipya mkuu. Una maarifa mengi basi yatumie sio kuiga tu.yaani kila mtu auze maandazi kisa kamuona fulani anawateja kiasi.mi sipendi biashara za kuiga iga kwa hazina faida zaidi ni kukudumaza tu.Please njoo na wazo jipya.asante
Hah hah hah, Yona una ubia nini na hawa jamaa? jamaa speed yao ya internet ni slow sana ila wanawavutia wateja wao kwa kuwaeke Porn movies na music kwenye chumba maalumu ambacho kila computer imetenganishwa na pazia. Iko hapa Mwenge bara bara ya Africasana inatizamana na msikiti mmoja hivi.Hivi wewe I.T spesholist unawashawishi watu kwenda kwenye cafe kama ile ambayo imejaa ma-virus? isitoshe Huwezi kuchukua movie/music kwenye computer zao wame disable USB port zote.Ndugu yangu wako watu wengi wanaofanya biashara za internet na zinafanikiwa kwa kiasi kikubwa wanalipa bei hizo hizo kubwa sema kuna mambo ya kitaalamu unatakiwa kuangalia sana na kufuatilia kwa karibu haswa kwenye komputa zako bila mteja wako kuhangaika anapotaka vitu vingi unajua kwa mfano wengi hawana huduma za hapo kwa hapo kama miziki and so on unakuta mwingine amekuja kwa mfano kuangalia au kutafuta miziki ya kisasa kwanini usidownload usiwe nayo kwenye server mtu akitaka apewe na sio kudonwload ? hiyo ni moja kuna mengi na mengi sana ya kufanya kuvutia wateja