igwee frm anambra
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 956
- 1,502
Sample ya wafanyabiashara wawiliSasa nikutege kwa faida ya nani au mimi nimeomba hiace kwako? Mm nawapa njia ya kutumia hizo gari.
Huku kuna mtu anaitwa Paswero hiace zake anatumia jina la CNN anajumla ya hiace 36 na mwezi ujao unaongeza 10 tayari zinafanyiwa tu finishing Dar.
Kuna mwingne AGAPE Analeta 5, hivi zingekuwa hazina faida wangeleta kwa wingi huo?
Kama wewe ni agape unayeota kushika njia ya hospital ya peramiho peke yako sawa disheart others ili ufanikiwe.
Na kama wew ni cnn unaeota kuishka mlilayoyo na mtwangimbole peke yako swa wakatixhe wenzako tamaa.
Songea haiko mbali tafuta watu ulizia vizuri. Hata ukiweka gari stand ya mjin kwenda stand ya shule ya tanga ambayo naul mia 7 unapata hela.
Katika hli mim cpat faida wala hasara ukifanya au kuacha
Hizo sample nilizotoa ni wale wenye magari mengi na wanaagiza meng kwa wakat mmoja. Huyo cnn ana hiace 36 had sasa na analeta zingine 10 atakuwa na ngapi?Sample ya wafanyabiashara wawili
Research imekamilika..
Unautangazia umma
Umeshawahi fanya hii biashara?
Usiwaingize wenzio cha kike.
Kwani songea iko kuzimu kusema nazungumzia mambo ya kusadikika? Nimeleta uzi huu kwa kuwa najua kuna watu wana hiace ila wamezipaki tu na wanajilaumu pengine kwa kuzinunua. Waende nazo songea tena sio hadi wawasiliane na mimi wao wenyewe wafanye hiyo kazi.Mkuu
Achana nae
Watu kama hawa hawakosekani
Songea naijui in and out
Upoo sahihi 100%
Bodaboda na Bajaj ni kiboko ya hiaceNimekuja Mtwara huku kikazi ,mra ya mwisho nilifika 2019 ila leo hapa Town hamna hiace za ndani ya mitaa zaidi ya bodaboda naona hiace za Mikindani tu ila kipind hicho zilikuwa kila kona kule stend ya zamani😅
Nimekuja Mtwara huku kikazi ,mra ya mwisho nilifika 2019 ila leo hapa Town hamna hiace za ndani ya mitaa zaidi ya bodaboda naona hiace za Mikindani tu ila kipind hicho zilikuwa kila kona kule stend ya zamani
Mji wa songea ulivyo biashara ya hiace haitakufa kwakuwa mji umetawanyika sanaBodaboda na Bajaj ni kiboko ya hiace
Zaidi ya Songea, ni mji gani mwingine unaoujua vizuri?Mji wa songea ulivyo biashara ya hiace haitakufa kwakuwa mji umetawanyika sana
Maeneo mengine siyajua na sijafanyia kazi hivyo sina uhakika nako.Zaidi ya Songea, ni mji gani mwingine unaoujua vizuri?
Umewahi fanya biashara ya hiyo?Maeneo mengine siyajua na sijafanyia kazi hivyo sina uhakika nako.
Barabara zote hazina bajaji wala bodaUmewahi fanya biashara ya hiyo?
Biashara ya Hiace Tanzania ilikuwa nzuri kabla pikipiki na Bajaj hazijaingilia show....
... km hela ni za bank...try it at your own risk
.makambako hakuna hiace kwanini?Peleka hiece tanga city, kule route zote ni hiece na costa hizi ni zile za mjini tu bajaj hawajazielewa kabisa, njoo na bajaj yako uone utakavyokula njaa, kuna mji kama makambako ukipeleka hiece jiandae kuhesabu mabua
Ndugu tunaongelea nn hapa?.makambako hakuna hiace kwanini?
Shule ya Tanga stand kuu hazifiki hizo bajaj Hadi mizani???Km ni 26 to 35 nakadiria na nauli ni elf 1. Bajaji kuna mahala zinaishia haziendi mbal kulingana na sheria walizoweka(by law). Kwa wanaoijua songea vizuri bajaji zinacheza toka stand ya mjini kwenda stand ya ruhuwiko(mbinga road) au kwenda stand ya seedfarm(namtumbo road) au msamala(njombe road). Nying znaenda ruhuwiko kutokana na ubize wa stand ya mbinga(ruhuwiko stand) bajaj naul ni 500
Nimekuja Mtwara huku kikazi ,mra ya mwisho nilifika 2019 ila leo hapa Town hamna hiace za ndani ya mitaa zaidi ya bodaboda naona hiace za Mikindani tu ila kipind hicho zilikuwa kila kona kule stend ya zamani[emoji28]
Ngojea nihamie huko,huko za petrol ndio zinafaa auKuna mtu alikuja na hiace yake na aliishi kwa kuitegemea hyo gari sasa ana mbili na ya pili ni mpya zaidi i.e kimepanda.