Mashine ndogo za benchi kama router mashine, engle grenda, drill mashine, compressor, jig saw , secular saw zinawesa kutosha kuanzia.
Mashine nyingine kubwa kama za kuranda, kuchana, spindle unaweza kupata kule utakapo nunua mbaona kwa mongozo wa fundi wakati wa maandalizi.