Sasa kumbe utaenda November, basi kuwa na subira ukienda utafahamu zaidi
Sawa ni vizuri akapata hints au maelezo ya kutosha kabla ya kwenda huko, ukiwa na taarifa za mapema ni vizuri zaidiSasa kumbe utaenda November, basi kuwa na subira ukienda utafahamu zaidi
Yaani kumbe ulikutana nao wanaofanya hiyo biashara, hukuwaelewa nini na humu unataka uelewe nini?Ndugu wapendwa napenda kujuwa kuhusu biashara ya fedha za kigeni (usd/ tshs) zinazofanywa kwenye mipaka yetu hususa Tunduma, nilipanda gari za IT zinazoenda mpakani, ndani ya ile gari kulikuwa na vijana watatu ambao ni watanzania katika kupiga nao story walinieleza wao huja dar toka tunduma mara kadhaa kwa lengo la kubadili dola walizozinunua pale mpakani, nilipojaribu kuwa dadisi waliniambia wao hiyo ni biashara yao na wanapata faida ya kuridhisha kwani hununua dola mpakani na kuja kuuza huku Dar ambako rate yake iko juuu. Je kuna yeyote mwenye ufahamu zaidi mimi binafsi nimepanga kwenda huko Tunduma mwezi November 2018 kwa ajili ya kufahamu zaidi. Aksanteni
Hana nia huyu alikutana nao, hakuwaelewa au?Sasa kumbe utaenda November, basi kuwa na subira ukienda utafahamu zaidi
Mzee huwa ni kawaida kuhakiki taarifa za kuambiwa ndiyo kilichonifanya kuandika just in case kama kuna mtu anaufahamu zaidi, wao hiyo ilikuwa ni sehemu ya story za kwenye gari,Yaani kumbe ulikutana nao wanaofanya hiyo biashara, hukuwaelewa nini na humu unataka uelewe nini?
Hizo biashara mkuu, asikudanganye mtu mwingine mbali na walioko mipakani kwani zinaenda na uhalisia wa matukio ya biashara za mipakani hukohuko, nadhani umenielewaMzee huwa ni kawaida kuhakiki taarifa za kuambiwa ndiyo kilichonifanya kuandika just in case kama kuna mtu anaufahamu zaidi, wao hiyo ilikuwa ni sehemu ya story za kwenye gari,
Well said na wqnaompiga mtoa hoja sio Kama awataki kujua sema wanamcrash jamaa ili nao waonekane watuMimi sikua kwenye IT naomba mjuzi anifahamishe kuhusu hii biashara. Ukiwaza kwa kina utagundua jamaa anania nzuri ya kushare na wadau kuhusu hili jambo,,,,,Me nafikiri tusubiri ananayefahamu ili iwe ni elimu kwa wale tusiojua kuhusu hiyo mambo.
Nadhani mnapoelezwa kwamba hizi biashara za mipakani zinaenda na uhalisia na matukio ya maeneo husika bad mmengangana na somo.Mimi sikua kwenye IT naomba mjuzi anifahamishe kuhusu hii biashara. Ukiwaza kwa kina utagundua jamaa anania nzuri ya kushare na wadau kuhusu hili jambo,,,,,Me nafikiri tusubiri ananayefahamu ili iwe ni elimu kwa wale tusiojua kuhusu hiyo mambo.
Hao wanaojua uhalisia ndio haswa ndio tunawataka however kupata elimu ya hiyo biashara sio lazima mtu ukaifanye.... kujua ni kitu kimoja na kuifanya ni another thing.Nadhani mnapoelezwa kwamba hizi biashara za mipakani zinaenda na uhalisia na matukio ya maeneo husika bad mmengangana na somo.
Sasa si alikuwa nao wahusika ambao ndio wangempa details zote, yeye akasubiri kuja kuandika uzi hukuSawa ni vizuri akapata hints au maelezo ya kutosha kabla ya kwenda huko, ukiwa na taarifa za mapema ni vizuri zaidi
Hao wanaojua uhalisia ndio haswa ndio tunawataka however kupata elimu ya hiyo biashara sio lazima mtu ukaifanye.... kujua ni kitu kimoja na kuifanya ni another thing.
Mzee huwa ni kawaida kuhakiki taarifa za kuambiwa ndiyo kilichonifanya kuandika just in case kama kuna mtu anaufahamu zaidi, wao hiyo ilikuwa ni sehemu ya story za kwenye gari,[/QUONgoja nikupe kwa kifupi ninapokwambia hii inaenda na uhalisia na mahali ilipo hiyo biashara mpakani ya kubadilisha fedha, kuna Week au miezi, inategemea utakuta shughuli nyingi zinahamiamfano :Tanzania -Malawi kuendelea Africa kusini kwa hiyo mahitaji makubwa yatakuwa ni dollar au Kwacha, Hivo maana yangu ukiwa hizo sehemu mwenyewe ndoutaangalia upepo ukoje, nimeeleweka mkuu?
Kukaa kimya ni busara kuliko kuchangia usiloliwezaYaani kumbe ulikutana nao wanaofanya hiyo biashara, hukuwaelewa nini na humu unataka uelewe nini?
watu ni wa ajabu sana
mtu anataka ushauri kwa mtu mjuzi zaidi wa jambo hili
lkn watu wa ajabu ajabu,wanakuja na kujibu watakavyo wao
midomo yao imepata hasara kabisa!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app