tikakami wa lopelope
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 1,377
- 674
Yaani umeacha kumuuliza huyo jamaa ukapata majibu ya uhakika unakuja kutusumbua humu...Waungwana habari za jumapili? Wakati flani nilipotembea hapo DSM nilishingazwa nilipokutana mtaani na jamaa ambaye alijivalia vizuri huku akiwa na kipaza sauti akitangaza kuwa yeye ana nunua Fedha chakavu/mbovu. Msisitizo wake ilikuwa ni kununua Fedha za Kitanzania na Dollari.
Huku mkoani wengine tulizoe kusikia biashara ya chuma chakavu na tuna ambiwa hurudisha katika viwanda husika kufanyiwa recycling. Sasa hapa jF wako watu ambao wana maajuzi mbambali . Mnisaidie na wengine tujue hii biashara ya Fedha chavu inaendeshwa je? Angala na jua hapa Tanzania hatuna kiwanda cha kutengeneza Fedha halali labda vile vya fedha feki ambavyo twasikiwa watuhumiwa wakikanatwa na vyombo vya dola. Asanteni inadvance.
Yaani umeacha kumuuliza huyo jamaa ukapata majibu ya uhakika unakuja kutusumbua humu...
Ni biashara nzuri iwapo utazipata.
Huwa inachukuliwa hela ambayo angalau asilimia 75 ya kipande kipo au imechakaa sana (noti au sarafu) baada ya kutumika muda mrefu au kufuliwa au kuwa na kutu nk.
Bei ni maelewano kati yako na mwenye nayo ambapo ukishazipata km utaziweka ktk hali ya usafi ikiwemo kuzigundisha zilizochanika na kuzipeleka benki kuu na kupewa mpya.
Kuhusu dollars,Euro nk utapeleka maduka ya kubadilishia fedha za kigeni ila zenye ni vzr ukachukua ambazo hazijachakaa
Zamani haikuwa lazima uwe na leseni labda km sasa sheria inalazimisha. BOT wanatengeneza (wana order) hela mpya kwa idadi ileile ya zilizoharibika.Asante sana. Sasa ni ulize tena, leseni ya hii biashara inapatikana kwa utaratibu upi? Bot hizi fedha chakavu wanazifanyia nini?
Hujui kitu.Mkuu wewe mwenywe ukiwa na pesa chakavu ukienda bank kuu unapewa mpya, kwa wanaofanya ivyo hua wananunua labda elf moja kwa mia nane au elf mbili kwa 1700 anakupa pesa kulingana na mlivyokubaliana, yete akipeleka bank kuu anapewa mpya mwisho wa siku anakua anapata 200, 400, sasa kama kanunua nyingi hivyo hivyo faida yake inakua kubwa. Kama kuna swali ruksa kuuliza.
Ukweli ni upi?Hujui kitu.
1000 kwa 500
Yaani unapata Nusu ya pesa
Muulize mnunuajiUkikata noti moja chakavu vipande viwili na mkapele watu tofauti kwa muda tofauti hapo vipi?
Kipindi kirefu kimepita tangu nilipoenda bank kuu kubadilisha noti iliyochakaa/kukatika.Ukikata noti moja chakavu vipande viwili na mkapele watu tofauti kwa muda tofauti hapo vipi?