Kwenye swala la competitio ndio kwenye mtiti hapo unakuta jirani yako anauza vitu cheep sana hadi unashangaaa wateja wako wote wanaenda kwakeLabda kama unatafuta Uhuru tu. Lakini hakuna biashara isiyokuwa na stress. Kwenye poultry kideri kinaweza safisha Kuku 10000 kwa siku 2 haa usipokuwa na moyo mgumu lazima udate.
But hakuna lisilowezekana ukiwa na nia.Pia biashara ya duka kwa sasa ni outdated.
Uzalishaji, kutoa Huduma au uongezaji thamani vitu ndio biashara za dunia ya Leo so uko sahihi kwenye poultry.
Biashara ya duka kupata competition ni rahisi mno ndo maana mnasingizia uchawi kozi mtu yeyote anaweza fungua akiwa na pesa hakuna ubunifu wa kutisha unaohitajika hata uchawi hamna Bali mnagawana Wateja tu.
Akili yako inawaza bataz tu..fanya kaziHabar wana Jf
hii biashara ya duka dah ni biashara nzuri but imejaa hofu kibao kwanza wenyewe kwa wenyewe mnarogana
Chengine jamii inatuchukulia sisi wenye maduka tuna Uhuru wa kipesa lakini si kweli uhalisia tuna mashaka sana.
Hii biashara ya duka haina future nzur miaka nenda miaka rudi unakaa tu dukani mambo kibao mtaani yanakupita unabaki kusimuliwa tu
Kiukweli bora ufanye poultry
Naomba niweke kumbukumbu sawa nafanya biashara ya duka mwaka wa 3 sasa na inaenda vizur ila na inanipa faida nzur tu
Ila haina free time yani no bataz muda wote upo shop
But my future nanza kukita mizizi kwenye poultry cuz ndo itanipa free time
😂😂😂Write your reply... Ukweli haipingiki hiyo biashara haina uhuru yaani ukiiendekeza maisha yote utamaliza sehemu moja tu hapo dukani kuna duka moja hapa maeneo ya mtaani wanafungua saa 12 asubui hapo ni marathon hadi saa 5 usiku kesho tena sasa maisha gani hayo binafsi malengo yangu kuwekeza kwenye biadhara hata nne ambapo watu nimewaajiri arafu moja nakaa mwenyewe hivyo nikiingia kazini nafunga mapema tu naenda home kula movie na mtoto mkali.
Mkuu umeongea point sana.Ukiona mtu anaendesha biashara ya duka rejareja(nadhani vyakula Kama mtoa mada amekusudia hivyo) kwa muda wa miaka 3 na linaendelea vizuri mpe heshima yake.
Hii biashara watu wanaweza sema ni rahisi ila ni biashara ngumu Sana inayohitaji akili maana ukicheza kidogo tu unafunga.
Wengi imewashinda kwasababu hajui njisi ya kuiendesha, kwenye mauzo atataka ale hapo hapo atachota sukari, hapo hapo atachukua sabuni ,chumvi, unga n.k kwa matumizi ya nyumbani ila haesabu , yeye anahesabu alizouza tu na tatizo linaanzia hapo.
utotoHabar wana Jf
hii biashara ya duka dah ni biashara nzuri but imejaa hofu kibao kwanza wenyewe kwa wenyewe mnarogana
Chengine jamii inatuchukulia sisi wenye maduka tuna Uhuru wa kipesa lakini si kweli uhalisia tuna mashaka sana.
Hii biashara ya duka haina future nzur miaka nenda miaka rudi unakaa tu dukani mambo kibao mtaani yanakupita unabaki kusimuliwa tu
Kiukweli bora ufanye poultry
Naomba niweke kumbukumbu sawa nafanya biashara ya duka mwaka wa 3 sasa na inaenda vizur ila na inanipa faida nzur tu
Ila haina free time yani no bataz muda wote upo shop
But my future nanza kukita mizizi kwenye poultry cuz ndo itanipa free time
Inategemea duka la nini lakini,biashara ya duka nitamu jamani! wewe kuna mahali umechemka
Maisha ya biashara yanakupa full control of your own life full uhuru, we ni manager, boss, director yani, sijui anazungumzia nini...?Ukiachana na biashara ya kuzalisha mean kiwanda. Ukweli me huniambii chochote kuhusu duka. Maisha ya biashara ni matamu asikwambie mtu..
Kuna kitu umeniongezea hapa mkuu,Mimi niko ktk biashara hizi za maduka leo mwaka wa 10, ila nilichogundua duka lazima ukubali kupitwa na mengi yanayojili maana ukisema uajili hawa vijana au watu wa dunia ya sasa hata kama ni ndugu yako atakuibia tu mtaishia kulaumiana bora kukomaa ww na mkeo tu kama umeoa.. Ukitoka au ukichoka funga tu ujue moja kuliko kumuachia mtu litaisha.. Ila ukishaona umepiga hatua hata ukimuweka mtu akakuibia huta yumba unawez ajili.
Yaap, yani biashara kama utapenda kale kamchezo ka buy and sell, utaenjoy sana, mi ni muajiriwa vile vile nafanya biashara ila ninapokuwa kwenye biashara nakuwa huru na comfortable than ninapokuwa kwenye kazi ya watu. Mungu anisaidie kwa kweli kwa hili,KUDOWNLOAD tu pesa... Nimeipenda hiyo. mwiko ku UPLOAD tu pesa.😀😀
Waungwana wasema hata mbuyu ulianza kama mchichabiashara ya duka ka reja reja faida ndogo sana ukipata faida elfu kumi kwa siku ujue umepiga mzigo hasa
Kwanini biashara ya kiosk ni stress dadavua kidogoBiashara ya DUKA
ni nzuri, ila baishara ya KIOSK ni stress.
Kupanga ni kuchagua funga duka katafute story mtaaniHii biashara ya duka haina future nzur miaka nenda miaka rudi unakaa tu dukani mambo kibao mtaani yanakupita unabaki kusimuliwa tu
Suala la mirejesho ndio huwa kizungumkutiMkuu ulifikia wapi na biashara ya shamba la kuku?