Mkuu shusha maujanja kidogoUkiachana na biashara ya kuzalisha mean kiwanda. Ukweli me huniambii chochote kuhusu duka. Maisha ya biashara ni matamu asikwambie mtu..
Lazima utakuwa muuza duka weAkili zako maziwa mgando, achana na biashara ya duka sasa kawe mpiga debe ili usiwe unakaa sehemu moja.
.
Kurogwa ni unajiroga mwenyewe na hautofanikiwa kamwee. Biashara inaendeshwa na ubunifu na utayari, ingekuwa hayo unayoyaamini ni ya kweli maduka mengi ya kariakoo yasingekuwepo WEWE UMELAANIWA AKILI MPAKA MWILI
Labda awe shoga..kwako kitu chepesi kipi? ujue nimejaribu kukusoma wewe ni mtu wa kupinga pinga kila jambo. hakuna jambo lolote rahisi aisee kila kitu kinataka bidii na weredi
Mimi niko ktk biashara hizi za maduka leo mwaka wa 10, ila nilichogundua duka lazima ukubali kupitwa na mengi yanayojili maana ukisema uajili hawa vijana au watu wa dunia ya sasa hata kama ni ndugu yako atakuibia tu mtaishia kulaumiana bora kukomaa ww na mkeo tu kama umeoa.. Ukitoka au ukichoka funga tu ujue moja kuliko kumuachia mtu litaisha.. Ila ukishaona umepiga hatua hata ukimuweka mtu akakuibia huta yumba unawez ajili.Habar wana Jf
hii biashara ya duka dah ni biashara nzuri but imejaa hofu kibao kwanza wenyewe kwa wenyewe mnarogana
Chengine jamii inatuchukulia sisi wenye maduka tuna Uhuru wa kipesa lakini si kweli uhalisia tuna mashaka sana.
Hii biashara ya duka haina future nzur miaka nenda miaka rudi unakaa tu dukani mambo kibao mtaani yanakupita unabaki kusimuliwa tu
Kiukweli bora ufanye poultry
Lazima ukubali kuwa mfungwa na kufanya kazi kwa bidii kila siku ili baadae uishi kama mfalmeMtoa mada nakuunga mkono,kazi ya duka huna tofauti na mfungwa