Ni biashara ya kununua bidhaa online kwa supplier wakubwa kama alibaba, Amazon na zingine alafu una panga bei yako mfano umenunua $2 we una weka $8 unauza mteja akininua kupitia kwako supplier anampelekea mpaka alipo kwahiy wewe unakuwa katikati ya mteja na supplier