Royal Son JF-Expert Member Joined Dec 22, 2016 Posts 1,671 Reaction score 3,164 Oct 26, 2026 #1 Kuna hii habari kwa upande mwingine inafikirisha sana Saudi Arabia wanafurahia kupata Watalii wa Hijja sisi tunafanya Imani wao kwao ni biashara na wanajisifu kabisa nasubiri Israel
Kuna hii habari kwa upande mwingine inafikirisha sana Saudi Arabia wanafurahia kupata Watalii wa Hijja sisi tunafanya Imani wao kwao ni biashara na wanajisifu kabisa nasubiri Israel
TAJIRI MKUU WA MATAJIRI JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 11,972 Reaction score 24,284 Oct 26, 2026 #2
TAJIRI MKUU WA MATAJIRI JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 11,972 Reaction score 24,284 Oct 26, 2026 #3 Dini ni kwa ajili ya watu wasio na akili
Zerock JF-Expert Member Joined Sep 3, 2026 Posts 852 Reaction score 1,697 Oct 26, 2026 #5 Wewe nenda Roma (Italy)
Psalm_23 JF-Expert Member Joined Aug 18, 2026 Posts 2,738 Reaction score 5,072 Oct 26, 2026 #6 kazi za Shetan
Royal Son JF-Expert Member Joined Dec 22, 2016 Posts 1,671 Reaction score 3,164 Oct 26, 2026 Thread starter #7 Hakuna mahali naenda Mkuu zaidi ya Moshi kwa kikabila za kwetu
medisonmuta JF-Expert Member Joined Oct 10, 2014 Posts 2,449 Reaction score 1,536 Oct 26, 2026 #8 Na wewe nenda kafanye utalii mlima kilimanjaro au mizimu ya kwenu kama imekuuma.
Royal Son JF-Expert Member Joined Dec 22, 2016 Posts 1,671 Reaction score 3,164 Oct 26, 2026 Thread starter #9 medisonmuta said: Na wewe nenda kafanye utalii mlima kilimanjaro au mizimu ya kwenu kama imekuuma. Click to expand... Wewe pelekea hela waarabu na wayahudi sie tunapeleka nyumbani
medisonmuta said: Na wewe nenda kafanye utalii mlima kilimanjaro au mizimu ya kwenu kama imekuuma. Click to expand... Wewe pelekea hela waarabu na wayahudi sie tunapeleka nyumbani