mimi ni designer mzuri..ila nafanya designing then napelekea kwa mwanangu ambaye wana kampuni ya printing.so naweza kukupa connection nae Yeye akakupa info zote....lakini kuhusu designer nihaidi ajira hapoWadau naomba kujua yafuatayo kuhusu biashara ya printing.
1. Machine nzuri za design and printing.
2. Wapi naweza pata machine hizi.
3. Mtaji kiasi gani nawe nao kuanza biashara hii
4. Designer mzuri analipwa kiasi gani?
5. Faida, hasara na changamoto za hii biashara.
6. Wapi naweza pata madisgner waziri Kwa hii kazi.
7. Kwa kuanza ukiacha machines vitu gani vingine natakiwa kua navyo katika hii biashara.
Natanguliza shukrani kwa wote watakaonisaidia
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau naomba kujua yafuatayo kuhusu biashara ya printing.
1. Machine nzuri za design and printing.
2. Wapi naweza pata machine hizi.
3. Mtaji kiasi gani nawe nao kuanza biashara hii
4. Designer mzuri analipwa kiasi gani?
5. Faida, hasara na changamoto za hii biashara.
6. Wapi naweza pata madisgner waziri Kwa hii kazi.
7. Kwa kuanza ukiacha machines vitu gani vingine natakiwa kua navyo katika hii biashara.
Natanguliza shukrani kwa wote watakaonisaidia
Sent using Jamii Forums mobile app
SAAAAFI KABISA!!!Seneta Wa Mtwiz,
Unaweza kupata, Dunia ipo kiganjani tunaweza kushere Idea hata telegram nk
Nashukuru mkuu nipo Dodoma pia Kwa mda nitakutembelea ofisini kwako.Nipo Dodoma
kama bado ujapata ajira ni pmmimi ni designer mzuri..ila nafanya designing then napelekea kwa mwanangu ambaye wana kampuni ya printing.so naweza kukupa connection nae Yeye akakupa info zote....lakini kuhusu designer nihaidi ajira hapo
Naomba kuuliza bos,1.Machine Nzuri kuanzia large format angalau uwe na kuanzia 40m hadi ndogo za 1m
2.machine hizi unaweza nunua dar au ukaagiza kutoka China nk
3. Angalau uwe na 10 million kama utakuwa na mashine zote hizo hapo juu
4.utamlipa wastan wa 500k - 1000k kulingana na uwingi wa kazi
5.Faida yake ni kubwa huwezi kukosa kutengeneza faida hadi ya 3m-5m kwa mwezi. Hasara zake inatokana na kukatika kwa umeme suluhisho uwe na generator na changamoto kuzidiwa kwa kazi kulingana na mahali ulipo weka ofisi vile vile mwanzo kukosa wateja kwa kuwa bado unakuwa hujafahamika.
6.Ma designer wazuri wapo wengi tu, ukiingia kwenye industry ni rahisi kuwapata.
7.materials na vifaa vingine vile vya stationary.
Sent using Jamii Forums mobile app
Large Format unapata ya kuanzia mita 1.3Naomba kuuliza bos,
Machine za large-format kwa hapa Tanzania na hata nje Naweza kupata yakuanzia walau inayoprint 100cm au chini ya hapo kwa bei gani?
Na je kwa machine ya kuprint Business card, Flayer brochure nk, Ni ipi nzuri kati ya Xerox & Canon kwa maana ya ubora wa kazi n a ubora wake na pia upatikanaji wa spare?
Ndo naaanza na pia mtaji wangu ni mdogo hivyo naoma ushauri wa wapi pakuanzia.
Natanguliza Shukrani.
Nashukuru mkuu Kwa majibu, Bei ya 1.3m Large format ni kiasi gani hapa kwetu?Large Format unapata ya kuanzia mita 1.3
Business Card printer, flyers n.k unaweza tumia hizo Epson printer l series mfano A4 l805, l1800 n.k usinunue l1300 ni zinazingua sana.
Kuhusu digital mbadala wa hizo Epson printer machine nzuri ni Canon printer hasa kwenye ufanisi, ubora na vipuli vyake.
nimefanya kazi hizi kwa muda wa mika 3 kwa mda huu nimebanwa na shughuri kidogo nitakuja kukuelezea, but kiufupi nilikuwa natumia machine ya NORTSU QS 3011, Pia na EPSON 805, naweza nikakupa ushahidi wa kazi nilizo fanya, nitarejea kukuelezea vizuri, asanteWadau naomba kujua yafuatayo kuhusu biashara ya printing.
1. Machine nzuri za design and printing.
2. Wapi naweza pata machine hizi.
3. Mtaji kiasi gani nawe nao kuanza biashara hii
4. Designer mzuri analipwa kiasi gani?
5. Faida, hasara na changamoto za hii biashara.
6. Wapi naweza pata madisgner waziri Kwa hii kazi.
7. Kwa kuanza ukiacha machines vitu gani vingine natakiwa kua navyo katika hii biashara.
Natanguliza shukrani kwa wote watakaonisaidia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Kama itapendeza weka kazi ulizofanya zikiwa katika mfumo wa PDF,word,publisher nknimefanya kazi hizi kwa muda wa mika 3 kwa mda huu nimebanwa na shughuri kidogo nitakuja kukuelezea, but kiufupi nilikuwa natumia machine ya NORTSU QS 3011, Pia na EPSON 805, naweza nikakupa ushahidi wa kazi nilizo fanya, nitarejea kukuelezea vizuri, asante
Mimi pia ni Logo designer.... Ila sijajua vzur bado jinsi nitavyofanya hii biashara, na gharama za printingmimi ni designer mzuri..ila nafanya designing then napelekea kwa mwanangu ambaye wana kampuni ya printing.so naweza kukupa connection nae Yeye akakupa info zote....lakini kuhusu designer nihaidi ajira hapo
Naomba kuuliza bei ya t shirt printing machine zinaendaje sokoni na zinapatikana wapi
Details zako haziko clear au mpka mtu aslide DMNatafuta mfanyakaz wa stationary.
Vigezo
Awe binti Hana mme,staki wanaume wahongaji mno.
Yuko tayar kujifisha mwenye
Awe anauzoefu na hizo kazi za stationary
Awe anajua kusoma kingereza vizuri
Awe mtu mstarabu mpenda dini
Awe mchapakazi kwelikweli.
Mshahara 80,000/= per month