Biashara ya Trekta nami naifanya pia. Ila Mimi hii biashara nimebugi sehemu mbili anbazo ukiifanya nawe uwe makini usibugi kama Mimi.
Kwanza Trekta nililinunua Jipya kabisa, tena Massey Ferguson ila halikua la Original from UK, Bali under license from Pakistan, yanauzwa Sinza Mori kama waelekea Meeda Bar upande wa kushoto. Ni heri ningenunua Used but original from UK kuliko Mpya but under licensed.
Pili location ya biashara. Mimi nalima Ufuta Lindi, hivyo nalo nililipeleka Lindi. Kule kilimo ni Ufuta tu Mwishoni mwa Mwaka hivyo sehemu kubwa ya mwaka linakaa idle, mzunguko wa hela unakua mdogo. Linabebaga korosho sometimes but kwa trailer ya kukodisha. Hivyo ili uione faida nakushauri uliweke sehemu ambapo wanalima mwaka Mzima. Faida ingine ya eneo hili ni kua ardhi sio ngumu sana hivyo trekta haiumii.
Lakini kwa ushauri zaidi sio lazima utumie zote 47mil ziishe sasa, waweza pia kufuga kama alivyosema mdau hapo juu, kilimo cha mboga mboga na pia kuwekeza Nyingine kidogo hata kwenye kilimo cha miti.
Ila daladala, SIKUSHAURI aisee from vivid experience niliyo nayo sasa!!
Mkuu nakushauri uje Iringa uwekeze kwenye ardhi kwa kupanda miti ya mbao ambayo ni very profitable kwani kama unavyojua mbao zina dili sana,ekari moja kununua ni 150,000.nakuapia hutajutia kwa uamuzi wako mkuu coz haikupotezei muda wa usimamizi na hauibiwi.ukiona umevutiwa zaidi na hili wazo waweza kuni pm nikupe maelezo mengine zaidi

Kupanda Mpaka kuvuna Miti inachukua Muda gani
Kama unaweza endesha gari mwenyewe utaweza iona faida ya gari, lakini kama utategemea uweke dereva hata kama ndugu yako usahau kabisa, kuna wakati utafika itabidi utoe akiba yako kulitengeneza hilo gari likiharibika.Wana jf nina mtaji wa milion 47 sasa nataka ninunue costa moja au haice 4 au noha.ambapo nimepiga mahesabu kuwa baada ya miaka miwili ntakuwa nimerudisha mtaji wangu.kma kwa siku nategemea kupata 120 000 kwa mwezi 3600 000.je wenye uzoefu na biashara hii naombeni ushauri
Tatizo la chombo cha moto siyo ununuzi, unaweza kununua cash au kukopa, bali usimamizi, je utakuwa tayari kwenda Gairo au Lindi kulisimamia wewe mwenyewe hilo Trekta wakati wa kulima mashamba,ukimpa mtu yatakua ya Costa au daladala litafanya kazi usiku na mchana bila wewe kujua na utaletewa robo ya pato lake.Milion 47m inaweza nununua treckta
Wana jf nina mtaji wa milion 47 sasa nataka ninunue costa moja au haice 4 au noha.ambapo nimepiga mahesabu kuwa baada ya miaka miwili ntakuwa nimerudisha mtaji wangu.kma kwa siku nategemea kupata 120 000 kwa mwezi 3600 000.je wenye uzoefu na biashara hii naombeni ushauri
Mkuu nakushauri uje Iringa uwekeze kwenye ardhi kwa kupanda miti ya mbao ambayo ni very profitable kwani kama unavyojua mbao zina dili sana,ekari moja kununua ni 150,000.nakuapia hutajutia kwa uamuzi wako mkuu coz haikupotezei muda wa usimamizi na hauibiwi.ukiona umevutiwa zaidi na hili wazo waweza kuni pm nikupe maelezo mengine zaidi
Duh,
Mkuu bei yako iko juu aisee, Tshs 150,000/ekari? Hata shamba lenye miche tayari bei haifiki hiyo ndugu.
Kaka Malila tusaidie bei ya eka 1 pale Nyave, Chogo, Ukami, Kipanga n.k

Asante kaka,
Bei za mashamba zinatofautiana kutoka eneo moja mpaka jingine, bei ya juu ya mpaka jioni hii kwa ukanda wa Chogo,Ukami na Kipanga ni Tsh 70,000/ na Nyave ni Tsh 60,000/. Namaanisha jana tumelipia mashamba ktk vijiji hivyo kwa bei hizo, lakini bado mpaka kwa Tsh 40,000/ unapata ktk vijiji vya Itika njia ya Idete ukishapita Mgololo.
Pia bei ya laki moja ni kwa maeneo ya mjini Mafinga kama Mtula na Rungemba au Nundwe na njia ya kwenda Brook bond, kule bei ziko juu. Kule Kilolo maeneo ya Magome, bei iko laki moja sababu ya NEW FOREST waliopo pale.
Go for tree farm for Ur future. Trust me its a great deal. Great investment.