Saidi malolo
Member
- May 2, 2024
- 25
- 26
Kwa kilo inategemea ulipo ww ila dar nauza 8000Bei zako we
Hiyo n bei ya jumla?I
Kwa kilo inategemea ulipo ww ila dar nauza 8000
NdioHiyo n bei ya jumla?
Mwanza utatuuziaje?I
Kwa kilo inategemea ulipo ww ila dar nauza 8000
Kabsa mzee babaDagaa ni dagaa tu mkuu, hakuna dagaa nyama.. 🙂 🙂
Mwanza utatuuziaje
Kaka apo inabid tuelewane kweny suala la nauliMwanza utatuuziaje?
Bbsa mzeeHakuna dagaa wa nyama,
Tafuteni hela
Usipaniki lakini mkuu, ni utani tuu, pia sijapenda umetutenga sisi watu wa mbeya kwenye list ya watu unaohitajiK
Bbsa mzee
Tutafutane.Kaka apo inabid tuelewane kweny suala la nauli
Kumbe Jf pia kuna wafanya biashara wa dagaa