Biashara ya Covid19 mpakani

Biashara ya Covid19 mpakani

Congo

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2008
Posts
2,079
Reaction score
2,333
Nyie wamiliki wa malori, hakikisheni mnawapa madereva wenu Tshs 100,000 ili waingie Kenya bila covid19. Usipotoa atakutwa na corona tu. RUSHWA KENYA ili kuingia
 
Mmmh!, kweli mgeni njoo mwenyeji apone...
 
Kuuza na kununua corona kenya ni Tshs 100,000 tu,sawa na kshs 4,550.
 
Back
Top Bottom