Abby Senior Senior Member Joined Feb 14, 2015 Posts 154 Reaction score 61 Oct 3, 2023 #1 Habari zenu wadau, Ninaomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia kupata madini ya COLTAN ili tuweze kufanya biashara, Mnunuzi yupo tayari. Ahsanteni.
Habari zenu wadau, Ninaomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia kupata madini ya COLTAN ili tuweze kufanya biashara, Mnunuzi yupo tayari. Ahsanteni.
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 22,425 Reaction score 43,349 Oct 3, 2023 #2 Abby Senior said: Habari zenu wadau, Ninaomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia kupata madini ya COLTAN ili tuweze kufanya biashara, Mnunuzi yupo tayari. Ahsanteni. Click to expand... Bongo yapo kweli?navyojua yanapatikana Congo,ngoja majiolojist waje.
Abby Senior said: Habari zenu wadau, Ninaomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia kupata madini ya COLTAN ili tuweze kufanya biashara, Mnunuzi yupo tayari. Ahsanteni. Click to expand... Bongo yapo kweli?navyojua yanapatikana Congo,ngoja majiolojist waje.
GIRITA JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 4,541 Reaction score 6,019 Oct 3, 2023 #3 Nenda Congo Drc,Ila ukienda vibaya utaliwa pesa zote .....bongo utatapeliwa.
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 46,856 Reaction score 99,888 Oct 3, 2023 #4 Abby Senior said: Habari zenu wadau, Ninaomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia kupata madini ya COLTAN ili tuweze kufanya biashara, Mnunuzi yupo tayari. Ahsanteni. Click to expand... Unaijua hii biashara vzr ? Nikuunganishe na mutu aliye DRC ?
Abby Senior said: Habari zenu wadau, Ninaomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia kupata madini ya COLTAN ili tuweze kufanya biashara, Mnunuzi yupo tayari. Ahsanteni. Click to expand... Unaijua hii biashara vzr ? Nikuunganishe na mutu aliye DRC ?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 177,901 Reaction score 195,619 Oct 3, 2023 #5 Ngoja waje kukupa muongozo...