mr man city
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 467
- 320
[emoji3516]Kwema wakuu, tupeane mwongozo kwenye hii biashara ya nyama ya ng'ombe, bei ya nyama,vifaa vya ndani ya bucha, mizani ya kisasa,etc.
Location ni mwanza,maeneo ya chuo cha saut huku.
Nimeona fursa kutokana na uhaba wa mabucha.
Kila la kheri mkuu[emoji3516]
UMESHANIPA LOCATION,
NAKU_OVERTAKE.
WIKI HII NAJA KUFUNGUA MABUCHA MAWILI HAPO.
Na bado hujarogwa π , Ila akikaza baada ya mwaka kama atakuwa serious na ametengeneza jina , atawin , Ila kazi iwe ya uhakika, nyama Safi na lainiBiashara ina mapicha picha hyo hatari.
We kaa ujue kila ukilaza viporo ni hela hyo (inakata mtaji na faida) na kesho wakuda hawataki viporo
Utajaza Viporo Hadi Ufurahi, fridge linajaa tu (Jipange), faida za nyama ni pasua sanaa....ukikaa vibaya nyama inaharibika unakula loss utafurahi na roho yako.
Nimekupa the negatives cz wengi wanajuaga biashara ni slope tu. Na hapo bado kijana hajakupiga.
π π πBiashara ina mapicha picha hyo hatari.
We kaa ujue kila ukilaza viporo ni hela hyo (inakata mtaji na faida) na kesho wakuda hawataki viporo
Utajaza Viporo Hadi Ufurahi, fridge linajaa tu (Jipange), faida za nyama ni pasua sanaa....ukikaa vibaya nyama inaharibika unakula loss utafurahi na roho yako.
Nimekupa the negatives cz wengi wanajuaga biashara ni slope tu. Na hapo bado kijana hajakupiga.
Ndio yale ya Nondo unachomea mtu hadi anakufa then unaenda kutundikia Nyamaπ π πNa bado hujarogwa π , Ila akikaza baada ya mwaka kama atakuwa serious na ametengeneza jina , atawin , Ila kazi iwe ya uhakika, nyama Safi na laini
Ndio yale ya Nondo unachomea mtu hadi anakufa then unaenda kutundikia Nyama[emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Biashara ina mapicha picha hyo hatari.
We kaa ujue kila ukilaza viporo ni hela hyo (inakata mtaji na faida) na kesho wakuda hawataki viporo
Utajaza Viporo Hadi Ufurahi, fridge linajaa tu (Jipange), faida za nyama ni pasua sanaa....ukikaa vibaya nyama inaharibika unakula loss utafurahi na roho yako.
Nimekupa the negatives cz wengi wanajuaga biashara ni slope tu. Na hapo bado kijana hajakupiga.
Biashara ina mapicha picha hyo hatari.