Sababu SERIKALI inapata kodi kubwa kupitia izi kamali, kibali cha gaming board tu ni dola 1000 Kwa mwaka mmoja, bado hujaja kibali cha Afisa utamaduni, hujaja Tra etc, kamali inaingiza mapato Makubwa nchini, ndo maana kila siku unaona kampuni mpya zaidi betting zinaongezeka na wachina wanakuja invest kila kukicha, utajiri nje nje ukiwa na mtaji.Huwa najiuliza kwanini serikali inakaa kimya yan coins za 200 zinatolewa ktk mzunguko makusudi kabisa. Yan ni jambo la kawaida mtu kuwa na coins za Laki 2 au zaidi. Imagine watu 1000 wenye huu ujinga Ni kiasi gani kunakuwa held bila sababu za msingi
Dogo principle licence ya GBT ni usd 10,000 Kwa mwaka, TRA ni 400m Kwa mwaka nchi nzima bonanza,jx,gameshow, luck well,agamaloto, hizi kampuni zote hulipa hyo 400m Kila mmoja so madhara inayopata serikali ni makubwa kuliko kawaida ni vile ni wajinga na hawajui hata vipi Zina operate mbaya Zaid watu wachache wa GBT wanajua lakn wanakulamo so Kila mtu afe na chake,Sababu SERIKALI inapata kodi kubwa kupitia izi kamali, kibali cha gaming board tu ni dola 1000 Kwa mwaka mmoja, bado hujaja kibali cha Afisa utamaduni, hujaja Tra etc, kamali inaingiza mapato Makubwa nchini, ndo maana kila siku unaona kampuni mpya zaidi betting zinaongezeka na wachina wanakuja invest kila kukicha, utajiri nje nje ukiwa na mtaji.
Hujui lolote or u know very little about this business...askNimekuja kuwapa madini kuhusu hii biashara
Biashara hii inalipa Sana, ndo maana wachina wanatoka kwao kuja kuinvest Tanzania
Firstly inahitajika mtaji mkubwa Sana na elimu ya kusimamia na kutengeneza endapo ikiharibika ndo maana watanzania wanashindwa Fanya hii biashara
Kwa mtaji wa million 300
Una uhakika wa kila mwezi kuingiza million 60 km profit, ambapo ela yako ya mtaji itarudi baada ya miezi mitano tu.
Kwaio km mko watu watatu au wanne mmeingia kweny hii biashara ujue roughly unaingiza mil 20 profit kila mwezi
Nikiingia kiundani zaidi inabidi uwe na vibali, kampuni yako uisajili, utengeneze brand yako na Mashine ukanunue China na uzilete Tanzania, changamoto ya hii biashara inahitaji rushwa nyingi Sana Mpk kuja kufungua hii biashara, maana viongozi wetu wanaogawa vibali bila rushwa hupati kibali ,utazungushwa mpk ukome.
Ili mradi kuendesha hii biashara unahitaji gari kwa ajili ya kupeleka Mashine site
PIKIPIKI kwa ajili ya wafanyakazi kuwa wanapitia izi MASHINE
Na viongozi kuwa wanasimamia na kutoa muongozo kwa wafanyakazi
Inabidi ununue Silver (Coins) tsh 200 uzitunze kwa ajili ya mtaji wa Mashine
Nimekuja kujua kuwa kinachotufelisha watanzania ni mtaji tu.
Ulipo anzia Kaz wapKila mkoa tuko, na tunakuwa tunahamishwa hamishwa kikazi
watoto wadogo hawajui vituHujui lolote or u know very little about this business...ask
SingidaUlipo anzia Kaz wap
Kama ukibahatika angalia principle licence ya GBT uone ime command business location should be where then angalia nyie mko wap.Singida
watoto wadogo hawajui vitu
Io lazima ,ukifuata sheria Tanzania utajiri utackia kwa wenzako tuKama ukibahatika angalia principle licence ya GBT uone ime command business location should be where then angalia nyie mko wap.
M1 million au nn? Unaomgelea mdogo angu?Mnaojifanya mnajua mbona hamna ata m1 alieposti uzi [emoji23], uzi wa watu ndo mmekua wote wajuaji ,ila ktk wote naona kidogo ww una idea.