Biashara ya baa inalipa Dar es Salaam?

Nita sajili kila kitu kwenye serekali
Kusajili kwenye serikali inazuia vipi msimamizi asie muaminifu kukuibia kwa kukudanganya kwenye mauzo? Au kwa kuuza mzigo wake wa vinywaji na kuacha mzigo wako ukidoda?
 
Mtego huu tena una ulimbo nisije nasa.🏃‍♂️

Everyday is Saturday................................😎
 
Daah,unampa shavu jamaa akusaidie na yeye atoke kimaisha,anakuangusha.
 
Nimewahi kuifanya kwa muda kipind fulan mkoan mtwara nilikuwa (Manager) inalipa sana kama utakuwa na mtaji wa kutosha unaweka kila kitu kisikosekane
 
Hallo my friend
I want to ask
Hivi biashara ya bar inalipa dar es salaam?

Nataka kuweka bar dar es salaam
But I’m not living there. Nataka tu kuwekeza

Sasa sijui kama inalipa vile
Biashara ndogo ndogo usipokuwepo ni tatizo.
 
Hallo my friend
I want to ask
Hivi biashara ya bar inalipa dar es salaam?

Nataka kuweka bar dar es salaam
But I’m not living there. Nataka tu kuwekeza

Sasa sijui kama inalipa vile
Inalipa sana kama utapata sehemu nzuri ila usimamizi wake sio wa kitoto ni pasua kichwa tena kama upo mbali ndio balaa kabisa!!mimi naifanya, ila kwa kupambana kweli kweli.
 

Watu wa hivi ndio maana wanalogwa.......mtu kajinyima kaweka hela ya kutosha kwenye biashara anakuja mtu ye anaiba tu.....ndio maana mnaona mazezeta mtaani vijana wadogo tu ni wengi sanaa. Sishangai

I know wengi tu walikua vizuri tu saa hivi mazezeta.

Wana Ogopeni sana cha mtu. Ni bora umdalalie mtu ila still faida yake aione.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…