Naona timu yangu ya nyumbani inashindwa kuutumia uwanja wake wa nyumbani vizuri....
Naona leo ni draw ya tatu tunaipata nyumbani...
Ni nini? Hasa kilichoikumba safu yetu ya ushambulizi,naanza kupata wasiwasi kama tutasalimika baada ya msimu kuisha...