Kufungwa sio shida kwa kipindi hiki,cha msingi tuweke malengo kubaki ligi kuu kwa msimu huu kuliko kukomalia umaarufu ambao hatuna kwa sasa.
Tukikutana na wanyonge wenzetu kama yanga,tuhakikishe tunachua point zote 3.
Hivi kauli mbiu ya BUFC inasemaje wadau?