Habari zenu mimi nauza carton za karatasi size A4 gm 80 Bei sh.57,000 mawasiliano 0714954609 pia mikoani natuma bila tatizo na kwa uaminifu.Nyote mnakaribishwa.
Dogo kuwa mpole. Huna sababu ya kutukana, au kuwahusisha mama na dada zako kwenye mambo yako binafsi.
Nimekuambia wenzako huko Mikoani wanauza hiyo Katoni ya rim kwa elfu 48! Unatakiwa ujifunze tu kwamba hiyo bei yako haina uhalisia.
Dogo kuwa mpole. Huna sababu ya kutukana, au kuwahusisha mama na dada zako kwenye mambo yako binafsi. Nimekuambia wenzako huko Mikoani wanauza hiyo Katoni ya rim kwa elfu 48! Unatakiwa ujifunze tu kwamba hiyo bei yako haina uhalisia.