Biashara Spare parts za magari

Almahri08

New Member
Joined
May 29, 2020
Posts
2
Reaction score
2
Habari za asubuhi mabibi na mabwana
Ningependa kupata ushauri kwenu
Kwa mtu aliyejipanga kufungua biashara ya spare used za magari kutoka Dubai kwa mkoa wa Dodoma
 
labda nikupe no ya mtu anayefanya hizo biashara mtaa wa Lindi jpo research lazma uende dubai ukaonyeshwe machimbo yote ya spare
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…