Huyo alitaka zile pesa za kuongeza zile tunaita gangalee.Kazi kuabudu ushirikina tuuu na hao waganga wenu matapeli kuna mwenzako kule moshi katapeliwa 6M hlf akaachiwa trunker lina magazeti na biskuti kua pesa zake zimeongezeka
Ushirikina ni Ushetani jiingize upotee
Ila lazima utafute mvuto, iwe ushirikina au dua Kwa Mwenye Enzi MunguUkisoma somo la historia na ukajua kwanini wazungu waligombania bara la afrika, na kwanini wazungu na warabu walikuja afrika kisha zile sababu ukaziweka katika mfumo wa maisha u sasa utapata jibu kuwa biashara haitaji uchawi bali ni kuangalia sehemu yenye uhitaji na kupeleka huduma uko si kukomalia mijini tu eneo moja tu
Yule jamaa anachekesha sana,eti aliambiwa atume hela ya kununua blangeti la kifalme na mganga.Kazi kuabudu ushirikina tuuu na hao waganga wenu matapeli kuna mwenzako kule moshi katapeliwa 6M hlf akaachiwa trunker lina magazeti na biskuti kua pesa zake zimeongezeka
Ushirikina ni Ushetani jiingize upotee
wajinga ndio waliwaoYule jamaa anachekesha sana,eti aliambiwa atume hela ya kununua blangeti la kifalme na mganga.
vipi kijana umehitimu Degrer ya Uchumi?Muache ushirikina
Degree ya Uchumi ipi hio?vipi kijana umehitimu Degrer ya Uchumi?
Sijaona Mchaga mzembe kama yuleKazi kuabudu ushirikina tuuu na hao waganga wenu matapeli kuna mwenzako kule moshi katapeliwa 6M hlf akaachiwa trunker lina magazeti na biskuti kua pesa zake zimeongezeka
Ushirikina ni Ushetani jiingize upotee
Physical business ni kweli ila sio digitalMambo vipi wakuu.
Wewe umeweka mtaji wako wa milion 10 dukani kwako.
Jirani yako ameweka mtaji WA milion 30.
Unaamua kwenda Kwa mganga alafu mganga baada ya kukuchekia Ramli yako anakwambia njoo na jogoo mwekundu na Nazi Saba kwajili ya kufungua.
Mwenzio anaenda Kwa mganga anaambiwa inabidi utoe kafala la mnyama kondoo au mbuzi.Jamaa anaamua kutoa Ng'ombe kabisa.
Sasa wewe mganga wako wa Kuku na Nazi ataongea nini hapo kwenye Ng'ombe?
Unaamua kufungua biashara au kuuza kabisa na kuhama mtaa au mkoa.Jirani anakusanya wateja wote kwakwe na Maisha yanaendelea.
Uchawi unazidiana Nguvu Bana.
Biashara inataka Dua Sana.