Biashara na faida ya Bajaji ya mkataba

Biashara na faida ya Bajaji ya mkataba

kingawa1996

Member
Joined
Nov 22, 2024
Posts
9
Reaction score
9
Habari wanajJF, hivi bajaji ya mkononi ukampa mtu mkataba labda unaweza ukafanikiwa.

Walioanza kufanya biashara hiyo anipe ujuzi bajaji kama ya milioni 5 hivi

Ushauri wenu wanaJF
 
Bajaj used ya milioni 5, yenye changamoto kibao umpe mtu mwenye shida kibao zitakazoanza kuitegemea Bajaj hiyohiyo akuletee elfu 15 au 20 daily. Na bado unatafuta ushauri ukiwa na Imani ya kupiga ela kupitia hiyo Bajaj.. Kweli bado tuna safari ndefu kufikia mafanikio kama taifa..
 
Gengesha mweshewe, why ! Madeleva watakulisha Mashati.

Memo wao - lessen ya kwangu chombo cha bosi!!
 
Bajaj used ya milioni 5, yenye changamoto kibao umpe mtu mwenye shida kibao zitakazoanza kuitegemea Bajaj hiyohiyo akuletee elfu 15 au 20 daily. Na bado unatafuta ushauri ukiwa na Imani ya kupiga ela kupitia hiyo Bajaj.. Kweli bado tuna safari ndefu kufikia mafanikio kama taifa..
😅😅😅😅 umeandika kwa hisia sana, haya ni matatizo juu ya matatizo.
 
kwani inamatatizo yasiyorekebishika? ni nini tatizo kuu la Bajaji, nataman kujifunza kitu hapa
 
hapo unatafuta lawama tu na familia za waendesha bajaj
 
Habari wanajJF, hivi bajaji ya mkononi ukampa mtu mkataba labda unaweza ukafanikiwa.

Walioanza kufanya biashara hiyo anipe ujuzi bajaji kama ya milioni 5 hivi

Ushauri wenu wanaJF
Mkuu kwa asilimia kubwa Bajaji ya Sh 5M itakua ni used imechoka na itakusumbua sana

Labda kama unakomaa nayo kuendesha mwenyewe, na hivyo pia itategemea imechoka kiasi gani
 
Habari,kwa boss anayehitaji kufanya biashara ya Bajaji iwe mkataba au hesabu kwa siku nipo tayari mimi ni dereva gari na Bajaji mtandaoni nina uzoefu wa miaka 2 katika hii kazi.Uwaminifu 💯%. 0654037276
 
Kwa hesabu kwa siku unatakiwa upeleke bei gani na kww mkataba kwa siku bei gani na kwa mda gani
 
Back
Top Bottom