Kama Taifa tunajidanganya sana Biashara haiitaji knowledge pekee bali discipline ya pesa na uvumilivu wa hali ya juu. Most people are not cut out to do that, njia rahisi ni jobs ambavo zitamfanya mtu ku-survive na wale wachache ndio wawekeze kwenye biashara, unless otherwise tutaendelea kuwa na jamii yenye watu wenye stress, madeni na mwisho wa siku kuchanganyikiwa.
We are all different, na hakuna jinsi ya kuliokoa taifa zaidi ya kufanya watu wawe na income generation opportunities (ambazo sio za kuchuuza na kugombania wateja ambao hawana disposable income)