Biashara mtandaoni

Biashara mtandaoni

HFOOO

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2018
Posts
683
Reaction score
652
Habarini wazee humu Jf
Naomba kwenda kwenye mada tajwa hapo juu, wakuu nimekuja kwenu kama kijana ambae natamani nami kutafuta kujikwamua na wimbi la umaskini na angalau kupata akiba kwa ajili ya vizazi pia.

Nimepata wazo la kuanzisha mtandao wa kibiashara kama Amazon, Alibaba, Aliexpress na Ebay, kulingana na vile ambavyo nimejifunza mengi sana kwa hizi tovuti nini wanafanya na kwa nini wamefanikiwa na kuaminiwa, na pia nimejaribu kufuatilia hizi tovuti za hapa bongo na kujua nini mapungufu yao na wapi wamekosea na mimi nataka kuongeza kitu gani ambacho wao hawana.

Nimekuja kwenu wanajamvi nikiamini humu kuna wataalamu wa kila aina na wanaoweza kutoa ushauri mzuri hasa nini natakiwa kufanya na nianze na nini katika kufikia hatua hiyo.

Katika mawazo yangu ambayo nimeona nitafanya mabadiliko kidogo kutofautisha na tovuti za hapa nyumbani ni kama ifuatavyo:

1. Ni kuwalinda watu hawa wawili wasitapeliane ambao ni mnunuzi na muuzaji,
2. kuweka mawakala kila mkoa au wilaya kadri nitakavyokuwa nimepanuka kibiashara ili mizigo inatoka kwa muuzaji ikaguliwe na kupewa namba ya mzigo na packing nzuri ,
3. Kuhakikisha team tendaji kuwa active kuwajibu wateja wetu masaa 24 wakiachiana zamu
4. Kuhakikisha mzigo wa mteja umemfikia mnunuzi ndipo muuzaji anapewa hela zake,
5. Kuhakikisha watakaopost vitu vyao ambao watataka watumiwe fedha direct na wanunuzi ni kuwafuta katika orodha ya bidhaa,
6. Kuhakikisha wateja wote mfano muuzaji yupo Mwanza na mnunuzi yupo Mwanza ni lazima mzigo uende kwa wakala wetu kwanza ndipo mnunuzi aje upokee hapo.

Hayo ndio mawazo yangu ambayo nimeona mitandao mingine hapa nyumbani hawajafanya kama hivi, Wanajamvi kwa wote kwa pamoja naombeni mwenye wazo jingine pia kuchangia na kuniongezea elimu kwa kazi hii ambayo ipo jikoni kwa sasa na week chache zijazo nitawawekea tamplate yake hapa muone na kunikosoa pale nilipokosea na kuniongezea ujuzi zaidi na pia itasaidia kutoa ajira kwa watanzania wenzangu.

Natanguliza shukrani zangu za dhati naimani wa IT mpo humu naomba mawazo yenu na wataalamu wa biashara mpo humu, na mnaofanya kazi bank pia ushauri wenu nitawezaje kupokea hela za wateja na kuwapa wateja pia,

Ujumbe: Hali ngumu kitaa ndio unaofanya watu tuchemshe akili.
 
Hongera bwana
 
A splendid idea. The only hiccup is that, Tanzanians are not that acquainted with online shopping. What I want to say is that, it will take a lot of time and energy and patience for you and your site to be recognized. Its also possible you end up investing without gaining anything back.

However, if you want to initiate an online shopping site, I suggest you go with agricultural products. Come with a site where people buy and sell food and other agricultural products.

I have a business plan of 30 pages for such a business. The only problem is that it is available for sell.
 
Thanks
 
Thanks so much for your idea, if you don't mind coming PM let's build it well you may have a more positive idea.
 
Hizi biashara za kwenye mitandao ni za kua makini mno hutaweza kuamin utakapoibiwa,
 
E-commerce sector...
To my point of view naona ni sekta yenye ushindani wa hali ya juu sana na yenye big players out there. To compete labda uje na strategies very unique! I wish you good luck. Tunaisubiri site yako!.
 
Ahsante mkuu kwa neno lako
 
Hapan kuna kitu tunaita PayPal bongo haipo tuna pesapal hakuna wa kutapeliwa hapo usipo ridhika na huduma yako they refund amount
Hizi biashara za kwenye mitandao ni za kua makini mno hutaweza kuamin utakapoibiwa,
 
Hakikisha unalinda muuzaji na mnunuzi pia, kwa mawakala pia hakikisha wawe waaminifu
 
Hapan kuna kitu tunaita PayPal bongo haipo tuna pesapal hakuna wa kutapeliwa hapo usipo ridhika na huduma yako they refund amount
Hii inakuwa kwenye bank au inajitegemea kiasi kwamba miamala ya watu itakuwa inapitia huko?
 
Hakikisha unalinda muuzaji na mnunuzi pia, kwa mawakala pia hakikisha wawe waaminifu
Ahsante mkuu kwa mchango bora na ndio kitu nataka nifanyeje kwa utofauti na mitandao mingine, lakini pia kuhakikisha kuwa mzigo unafika kwetu kwanza na kukaguliwa na wataalamu ofsini au kwa mawakala wetu ndio unaenda kwa mnunuzi
 
Back
Top Bottom