Biashara matangazo bana!

karibu kwetu uswazi mbona kawaida, hapo zunguka nyumba ya nyuma, nyoosha kichochoro, utakuta choo pinda kulia, utakuta mlango uliza mama asha ndo fundi mwenyewe, karibu uswahili
 
kalibu kwetu uswazi mbona kawaida, hapo zunguka nyumba ya nyumba, nyoosha kichochoro, utakuta choo pinda kulia, utakuta mlango uliza mama asha ndo fundi mwenyewe, karibu uswahili

Ha ha ha!
Amini usiamini tangazo hilo liko Mbezi Beach!
 
mbezi beach ?????????? masopakyindi you are kidding , right ????
Ha ha !
Kweli kabisa mkuu, tena kulee karibu na beach kabisa.
Hiyo sehemu iko Mbezi Beach Miti Mirefu(kabla hujafika range ya JW)
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…