Jamani ndugu zangu naomba mnisaidiee kujuaa ni biashara gani nzuri na inayolipa kama mwanachuo ninaweza nikaimudu??
Hili Ni wazo zuri kwakweli🤔!Nnuua laundry machine wafulie wanachuo wenzako wavivu kufua....🤣🤣🤣
Wazo zuri sana au tafuta vijana watano mtaani unaanzisha kimradi cha kuwafulia wanachuo unakusanya nguo zao unapeleka kwa vijana wako wanafua jioni unawarudishia wanachuo zikiwa safi kabisa na unaifanya kama biashara kubwa ikikuwa ndio unatafuta mashineNnuua laundry machine wafulie wanachuo wenzako wavivu kufua....🤣🤣🤣
Ukiwa na mashine kama mbili hivi, inalipa.Mkuu labda wewe unauzoefu kidogo, nguo wanafulia shingapi..?1.2m
Inategemea na eneo na kipato cha watu na aina ya nguo 1,000-4,000/-Ukiwa na mashine kama mbili hivi, inalipa.Mkuu labda wewe unauzoefu kidogo, nguo wanafulia shingapi..?
Sawa mkuu.Inategemea na eneo na kipato cha watu na aina ya nguo 1,000-4,000/-
Hili Ni jukwaaa huru, kila mmoja anachangia anachowaza, na kuchukua kitakacho mpendeza.