Biashara kwa mafund laptop

Biashara kwa mafund laptop

dume30

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
567
Reaction score
577
Mambo zenu wadau ? nna toshiba satellite 1115-S103 nlinunua 2007 nikiwa chuo , ina mda sasa siitumii coz ilikata display baada ya kuanguka but kioo hakijapasuka ila hamna display mpaka uchomeke kwenye monitor ya nje kwa vga cable in short it is still working but kwa monitor ya nje, Fundi yoyote anipe offer nimuuzie kama spare , nakaribisha offer
 
alternatively ingia ebay tafuta display zinapatika kwa bei chee tu.
That is onli if you want to keep it with you
 
Utatajiwa bei ndogo sana mpaka utakata tamaa. Ikiwezekana tengeneza hiyo display halafu uza.
 
asante mkuu nimekupata ntafata ushaur wako
 
Unauza ngapi? Au unahela nikupe kioo?ni pm

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mambo zenu wadau ? nna toshiba satellite 1115-S103 nlinunua 2007 nikiwa chuo , ina mda sasa siitumii coz ilikata display baada ya kuanguka but kioo hakijapasuka ila hamna display mpaka uchomeke kwenye monitor ya nje kwa vga cable in short it is still working but kwa monitor ya nje, Fundi yoyote anipe offer nimuuzie kama spare , nakaribisha offer

Nahitaji motherboard yake, je ni bei gani? Kama vp ni-pm..
 
Back
Top Bottom