Mangole Valles Michael
JF-Expert Member
- May 30, 2021
- 339
- 683
Kwenye bar mwenye frem hatak labda uuze vinywaji take away my anunue pombe akanywee kwakeFungua kibar kidogo classic kwa ajili wa wazee washua kunywa hapo
AsanteAlksasusu
Boss unania gani na watoto wa watu pamoja na wake za watu?[emoji23][emoji23]Barbeque ndiyo mpango mzima hapo.
Sawa mkuu asanteeFungua duka la mahitaji ya nyumbani ila uuze vitu classic tu mfano blueband vitu vingine ambavyo unaamini sio vya uswahilini
Sawa mkuu asanteWengi hununua vitu vya kutumia mwezi mzima,na hununua kwenye ma supermarket. uza matunda nadhani hapo utauza bila shaka