Biashara imedoda

aiseee....kwani kaenda wapi

Uyu jamaa, sialikanusha ii habari

Mbona mnatuchanganya,huyu jamaa si tumeambiwa hajakamatwa??

Bring back kutoka wapi??
Hamjamuelewa tu mleta mada masoud alivyotoweka tu jamaa akatengeneza t-shirt za bring back masoudy kipanya lakin hata siku mbili hazijapita masoudy akakanusha kupotezwa sasa jamaa mat-shirt yake yakawa yamedoda namna hiyo [emoji23] [emoji23]
 
ohoool
 
Good pointi[emoji106]
 
Inashangaza watu wanaposhindwa kuelewa kitu kidogo kama hiki!
 
Bring back our lovely Wonderful ,nadhani natakiwa kujiongeza ili mkono uende kinywani sasa maana hakuna namna tena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…