Majigo, Heshima kwako Mkuu, utafiti wako waweza kuwa sawa lakini wadau ni kama vile hawaamini-amini, hebu mwaga data zaidi.......Anyway, binafsi bado nakumbuka ulivyotufunga "tela" kwenye hadithi yako ya, "Nitakufa mara ya pili"....

MKuu ni kweli hawaamin nasema kuwa ni shavu kwa sababu huku Tz Manapatikana kiurahic wakati mitaa ya huko CHANGCHUTANG, KHUANJDE, , ZHANJIANGH, CHUILIN ,DOUYICHU, YICHIAULONG, LYCHEE n.k mbwa mmoja ni sawa na bei ya mbuzi aliyenona huku Dar