Kitabuflix
Member
- Sep 26, 2020
- 11
- 5
Invest katikaNaomba mawazo ya biashara ambayo nikifanya naweza kua billionea fasta
Dogo Umemaliza Field Tayari?Habari wakuu,..
Naomba mawazo ya biashara ambayo nikifanya naweza kua billionea fasta, haijalishi mtaji kiasi gani. Ni biashara gani nikiifanya nakua Billionaire fasta ...?
Tiririka hapo chini.
ASANTE.
Mzee mbona naskia hizi wachina hawampi mtu yeyote.Sloat machine Kama zile za kichina njoo nikupe maujuzi dm Ila usiwe spy tu pia haiitaji mamilion mengi kufanya na unapga pesa ndefu kwa mwezi Yani raha yake ukiionja hutoacha.View attachment 1604575
Usitake kupewa mbona wabongo wanazo za kutosha we pga mshe hamna knachoshndkana. Sina mda wa kutosha alafu me ni mvivu wa kutype ningeshusha system nzima kuanzia wamiliki wa kampun hz mpaka Kodi wanazolipa.mzee mbona naskia hizi wachina hawampi mtu yeyote
Pwapwahahah[emoji23][emoji23] nimecheka kwa sauti hadi nimepitiliza kituoBadala ya kua bilionea unaweza kua unanionea
Hizo mashine mbongo kuzipata sio rahisiUsitake kupewa mbona wabongo wanazo za kutosha we pga mshe hamna knachoshndkana. Sina mda wa kutosha alafu me ni mvivu wa kutype ningeshusha system nzima kuanzia wamiliki wa kampun hz mpaka Kodi wanazolipa
na ujanjaujanja wao wote hao madogo wa kchna mnaowaona wanazunguka na magar hawana pesa kabsa maana wanalipwa 2m per month wenye hela ni wale ma manager wa mkoani ambacho watz hawaelew ni kwamba wachina wamegawana mikoa Kama MAKOLONI yao hapa bongo
Na wao hao mamenager Wanapeleka pesa kila mwezi makao makuu ambako ni dsm kwa wenye kampuni (NIMECHOKA KUANDKA) ILA CHA AJABU HAMNA HATA MBONGO ALIE FUNGUA KAMPUNI HIZI DUH
Hahaha mkuu sema kuna ukweli hapa