Neda karume asubuhi kachaguwe tisheti utauziwa bei ya jumla sh 700 utapeleka kwa fundi azimodoe kila tisheti fundi anakula sh300 jumla sh 1000.Ingia road sasa bei ya kuanzia ni sh 3000 ili mteja adondokee kwenye sh 2000.Hapo ni shilingi inazaa shilingi.Ukimkuta mtu kakaa we unachukuwa flana unamrushia tu afu unasema bro nipe buku tatu kazi ya maana hiyo.